Kuna kijana mmoja kampeni meneja wa John Pambalu huko Mwanza ana trend Sana YouTube, anasema, " ukitaka kumuua mbwa mpe majina yote mabaya"
Hii Ina maana gani?
Kwangu Mimi, nakubaliana na slogan hii, huwezi kumuua mbwa kwa kumwita majina uyapendayo, utamhurumia, lakini ukimpakaza majina mabaya...