Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".
Habari zenu ndugu zangu, naombeni ufafanuzi
Mungu alishakataza pombe agano la kale na hata Yesu katika ile sala ya baba yetu ulie mbinguni kuna sehemu ya kuomba tuepushwe na majaribu ili tuepuke uovu.
Sasa inakuwaje tena kwamba hii pombe inabidi tuwe wanywaji na sio walevi?
Pombe ni dawa ya...
Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa...
KIUNGO Mbrazili wa Singida, Bruno Gomes amenifikirisha mambo mengi. Mengine ya kijinga mengine ya maana. Ameendelea kutamba katika Ligi Kuu kwa mara nyingine tena. Juzi alimtungua Aishi Manula bao maridadi la mpira wa adhabu tukaishia kumkubali tu. Tungefanya nini zaidi?
Bruno alikuwa...
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.
Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili...
Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke...
Tukiwa katika kusherehekea kutimiza miaka 46 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo;
1. Umeme hadi vijijini.
2. Makao Makuu - Chama na Serikali kuhamia Dodoma (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere)
3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere (tumetimiza Ndoto ya Muasisi...
Elimu inatakiwa kufika kila kona ila sio elimu ili mradi elimu tu. Nilitembelea shule moja iliyopo Yombo Vituka ya wazazi, kiukweli ni kama imebaki magofu ukilinganisha kipindi cha 2008 kushuka chini.
Miaka ya nyuma kulikuwa na shule chache zenye ubora na kutoa idadi nzuri ya wanafunzi ila kwa...
Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema manung’uniko hayo ya Wananchi yanaonesha changamoto nyingi zilizopo kuanzia ukamataji wa wahusika kujua hata haki zao pamoja na ucheleweshaji wa upelelezi.
Amesema “Nitoe mfano kuna kijana alikamatwa mwezi mmoja na nusu uliopita #Mwanza, wazazi wake...
Habari zenu??
Kuna uliusemi unasema "jilipue",ni kausemi fulani kako serious kwa mtu aliyepo serious.
Haya maisha yana formula moja tu take risk,watu wengi walio thubutu formula hii walijikuta wamepiga hatua nyingi kwenye maisha yao.
Mnaweza kusema mleta mada ametake risk gani,kuna kipindi...
Yes, kuna madarasa bado ni mabovu, yes kuna watoto wanakaa chini na matatizo mengine kama hayo.
Lakini tusilitazame kwa mhemko na kushindwa kumpa Rais Samia Suluhu maua yake;
- Katika kipindi kisichozidi miezi 20, Rais Samia kajenga madarasa 23,000. Ina maana ndio ujiulize kama asingejenga...
Jinsi tunavyoiona dunia na kuitendea inategemea sana taarifa tulizo nazo. Hii ndiyo sababu uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari ni haki za kimsingi, na mtiririko huru wa mawazo ni kichocheo kikuu cha maendeleo jamii na ustawi wa binadamu.
Hata hivyo, uhuru wa mawazo na...
Habari zenu wadau?
Nini kinasababisha baadhi ya wanawake kuwa na maji ukeni yaani wakati wa mgegedo, unasikia pacha pacha ukiwa unapeleka moto unakuwa kama unatwanga kisamvu.
Siko hapa kuwakejeli wanawake, ila naomba nijuzwe kama kuna dawa niusaidie huu mchepuko wangu maana kuna muda anakuwa...
Direct kwenye mada,
Dar es salaam hasa Uswahilini kunanuka kinyesi.
Ila cha ajabu wananchi wa maeneo husika wako comfortable wanakula na kufanya shughuli zao maeneo yanayonuka kinyesi.
Unaweza kujua kwamba kuwa na maji ya kutosha ni muhimu kwa utendaji wa kila siku wa mwili kama vile kudhibiti halijoto na kudumisha afya ya ngozi.
Taasisi ya Afya ya Marekani kupitia utafiti uliochapishwa na jarida la eBioMedicine umeonesha kunywa maji ya kutosha pia kunahusishwa na hatari...
TBC ni chombo umma wa watanzania kinachoendeshwa kwa Kodi za watanzania wote. Ninamshukuru waziri mwenye dhamana ya michezo, waziri wa habari na mawasiliano na Mkurugenzi wa TBC kwa kuwafikiria matajiri wao (walipa Kodi) kuwaletea matangazo ya moja kwa moja kutoka Qatar, ahsanteni sana kwa...
Habarini wadau wa soka.
FIFA wangeanza kwa kuondoa hii nafasi ya tatu kwenye mashindano haya ya kombe la dunia then wengine wangefuata.
Sioni maana ya hii nafasi zaidi ya kupoteza muda na kujichosha tu.Labda iwe kwa ajili ya kupata pesa tu.
Dhumuni la timu ni kucheza fainali na...
Sisemi mengi.
Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari?
Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira.
Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.