mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    Moloko wa Yanga SC ana mengi ya kujifunza kutoka Asha Djafar wa Simba Queens

    Ukitizama uchezaji wa hawa wachezaji wawili utagundua kuwa Jesus Moloko kaachwa mbali sana na Asha Djafar
  2. Lanlady

    Waandishi wa habari mkoa wa Mara hawatoi taarifa za matukio mengi kwa wakati! Sababu ni nini?

    Kuna baadhi ya matukio yamekuwa yakitendeka mikoani, ambayo taarifa zake hazitolewi kwa wakati au kutokutolewa kabisa. Kuna tukio la kukatwa mapanga hadi kuuawa kwa mwalimu wa shule ya sekondari kata ya masaba, wolaya ya Butiama ila hadi leo hakuna taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari...
  3. ryan riz

    Waziri Juma Aweso, sifa zake zinatoka wapi? Mbona matatizo ya maji ni mengi mno

    Kiukweli sijajua wanaomsifia huyu mtu wanatumia vigezo gani; 1. Baada ya kulipa bili ya kuonganishiwa maji itachukua hata nusu mwaka kuungishiwa bomba mpaka mitaro inajifukia(mabomba wanasema hamna na hapa rushwa na watu wa stoo ndio kwao kama TANESCO). 2. Wananchi kujichangisha mamilioni ili...
  4. A

    SoC02 Mapungufu ya mfumo wa Elimu ya Tanzania yalivyonifanya niteseke kwa zaidi ya miaka 7

    Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha. Nitasimulia Hadithi ya maisha yangu . Mimi nimezaliwa mkoa wa Kagera ,wilaya Ya Bukoba vijijini.Nimesoma Elimu ya msingi mwaka...
  5. F

    Mahakama yabatilisha makubaliano ya mgawanyo mirathi ya Mengi

    Mahakama Kuu Kituo cha Haki Jumuishi, (Masuala ya Kifamilia) Temeke leo Alhamis ya tarehe 25 Agosti 2022 imebatilisha makubaliano ya wasimamizi wa mirathi ya marehemu Reginald Abraham Mengi na wasimamizi wa mirathi ya aliyekuwa mtalaka wake, marehemu Mercy Anna Mengi, kuhusu mgawanyo wa mali...
  6. Matendo Andrew

    Mambo mengi ya Serikali yetu yanafeli kwasababu ya wanaoyaendesha ni wasomi

    Ukifuatilia wenye mafanikio makubwa Sana hapa nchini ni watu wa kawaida Sana kielimu. Hii unamaanisha kwamba tangu siku walipogundua kwamba hawana elimu kubwa waliamua kujisemea moyoni kwana natakiwa kua na vitu vikuu vitatu: UWAJIBIKAJI UAMINIFU NIDHAMU YA FEDHA Haya ndio Mambo tunayo wazidi...
  7. Ali Nassor Px

    Mahusiano mengi yanavunjika kwa sababu wanawake wanahisi wao peke yao ndo wanahitaji furaha

    KIBIOLOJIA Mahusiano Mengi Yanavunjika Kwa Sababu Wanawake Wanahisi Wao Peke Yao Ndo Wanahitaji Furaha. Lakini wanawake wengi wana amni wao ndo wanasitahili furah kuliko mwanaume na akiikosa furaha mwanamke mwanaume unaonekana hufai kabisa na mwanaume anaonekana haumjali. Kiasili wanawake ni...
  8. RAFA_01

    JF imekuwa ikinijibu maswali yangu mengi mpaka nimeamua kuingia mazima

    Habari kila mmoja, Nimekuwa nikipitia baadhi ya nyuzi za JF kwa mda sasa nimekuwa nikipata majibu ya maswali yangu, sambamba na vicheko, maana kuna members humu wana excellent sense of humour na mimi napenda utani mzuri. Basi kusema hayo nmeamua nijiunge na huu mtandao ulio wa kipekee kwa aina...
  9. B

    SoC02 Kiswahili kitumike kama lugha rasmi ya kujifunza na kufundishia

    By Erick Mange Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla. Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia wakati lugha ya taifa ni kiswahili? Sipati majibu.. kuna...
  10. Dodoma Demand

    Orodha ya makabila ya Tanzania

    Hii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali. Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania inayopatikana katika Ethnologue, pamoja na tovuti nyingine Archived 22 Agosti 2006 at the Wayback Machine.. Inawezekana kwamba baadhi ya...
  11. The Iron

    Jobless tunapitia mengi sana

    Baada ya miezi 9 ya mahusiano na hustle za ujobless leo nimepigwa na kitu kizito kichwani "All I'm trying to tell u is, mimi ni mzuri, nahitaji matunzo. Hata uwe mzuri wa sura au kitandani, siwezi kutulia na mwanaume mmoja pasipo na pesa. I need to dress up. I need to go to the salon. I need to...
  12. Akilindogosana

    Je, hali ya ofisi nyingi na makampuni mengi kutaka interns na volunteers ni jambo sahihi?

    Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana. Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection. NB...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Mnapotengana mnawapa mzigo mzito watoto sio tu wakiwa wadogo bali hata wakiwa watu wazima

    Kwema Wakuu! Huenda ukawa unajiuliza ni Kwa nini Taikon anapenda kujadili masuala ya familia, ndoa, na wanawake. Kwa kifupi tuu ni kuwa Msingi Mkuu wa Jamii ni Familia Bora, familia Bora ni matokeo ya ndoa iliyofuata misingi ya uadilifu. Familia Bora huleta jamii Bora, jamii Bora huzaa taifa...
  14. Financial Freedom

    Kwanini Mwanza magari mengi ni Kluger?

    Habari wakuu, Nimetembea majiji mbalimbali esp. DSM, Arusha, Mbeya, Tanga na Mwanza ila Mwanza magari aina ya Kluger ni mengi sana na Arusha kidogo halafu wachina pia wanayatumia. Siri ya kutumia magari haya ni ipi?
  15. figganigga

    Polisi tusaidieni abiria, Mabasi mengi ya Mikoani hayana Mikanda

    Salaam Wakuu, Mimi huwa nasafiri Mara kwa mara. Hivyo nashuhudia vifo vingi ambavyo vinatokana na watu kutokufunga Mikanda ya kwenye kiti cha Basi(Seat belt). Imenichukua miezi minne nikifuatilia mambo ya Barabarani, ikiwemo, Rushwa, alama za barabara potofu, Matuta, Miundombinu na Watengeneza...
  16. T

    Kinana anashangaa Watanzania kutonufaika na Kiswahili

    Nimeona kwenye kichwa cha habari kwenye gazeti la leo likisema kwamba eti Makamu Mwenyekiti CCM bara anashangaa watanzania kutonufaika na Kiswahili. Huyu akishangaa sijui anamaanisha nini wakati yeye amekuwa kiongozi mkubwa kabisa mwenye kushawishi sera na mipango ya serikali eti Leo na yeye...
  17. sky soldier

    Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

    Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel...
  18. benzemah

    Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maswali Mengi Majibu Machache

    Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu Othman Masoud Othman amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kung’olewa kwa kile kinachosemwa...
  19. J

    Kwanini Waziri Bashe anaogopa Tume kuchunguza kashfa ya mbolea?

    Wana JF Wakulima tunataka kuona bei ya mbolea inashuka nchini, pia tunataka kuona mikakati ya Serikali ya kushusha bei ya mbolea lakini maelezo aliyoyatoa Waziri Bashe hayaleti unafuu wowote kwa wakulima. Tatizo la Bei ya mbolea kupanda haliwezi kumalizwa na ruzuku kwani ruzuku inayotolewa...
  20. R

    Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

    Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo. Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa...
Back
Top Bottom