Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka.
wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha.
Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania kuanzia udini,uoga, unafiki na uongo uongo wa ninyi wajinga wajinga
Kitendo cha yeye kumsema Amini...
Wakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi comfortability hakuna.
Nilienda hospitali wakataka kung'oa nikakataa ikabidi wanipe dawa za...
Kuna mchezo wa watu wanajiita Jumia, wao wanasema wanafanyankazi ya matangazo online. Wanakupa task ya kuweka like kwemye video za youtube then wanakulipa buku (1k). Unatakiwa kufanya task zote, na wanalipa in lumpsum of 10 tasks.
Sasa trend nayoiona kila baada ya task mbili kuna task moja ya...
Pengine elimu ya viumbe ilinipita kando au mwalimu wangu hakugusia hilo katika ufundishaji wake au mimi sikukumbuka kuulizia hilo enzi ninasoma.
Sasa
Nakuja kwenu nikiamini mnaweza kunipa jibu litakalo nisaidia kuelewa ni kwanini baadhi ya viungo vya mwili kama kucha na nywele huendelea kukua...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameitaka Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), kutokafanya kazi za maofisi na badala yake kutembelea na kukagua na kufuatilia utekelezaji wa miradi kuanzia ngazi za awali za manunuzi, mikataba, utekelezaji, ufanisi wa miradi kulingana na...
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika.
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana.
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran.
Naomba kujua...
Mara kadhaa Rais na wapambe wake wakiwemo mawaziri wanapohisi kuna ubadhilifu katika fedha za umma huwaagiza TAKUKURU wafanye uchunguzi! Mtindo huu wa utawala ni wa hovyo kwani tayari fedha zinakuwa zimetumika vibaya. Jambo hili lingeweza kuepukika kama TAKUKURU wangeufahamu mradi tangu mwanzo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha kuanzia Septemba mosi hadi 12, limefanya oparesheni na Misako yenye tija katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio ikiwa ni pamoja na kukamata watuhumiwa 29 wakiwemo wa kupatikana na nyara za serikali (Meno ya Tembo), kufanya...
Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi.
Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi...
Pamoja na kuwa hii gender ipo vizuri kwenye maswala ya usafi wa mwili na mazingira kwa ujumla,kwanini hasa wanakuwa wanapatwa na tatizo hili?
Wataalamu naombeni majibu,toka nimekuwa na ufahamu na kuishi kwenye jamii mbali mbali ambazo nimebahatika kuishi nimekuwa nikiona wanawake wanapatwa na...
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limemkamata Jacob Mhanga (54) Mkazi wa kijiji cha Utiga Mkoani Njombe akiwa na meno saba ya Tembo katika nyumba ya kulala wageni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amesema Mtuhumiwa huyo alikutwa katika nyumba ya kulala wageni katika kijiji cha...
Barua ndio hii ngoja tusubiri! Ingawa naona dalili za mkutano kuahirishwa au ukiwepo hautakuwa na tija. Tunajua kabisa TUCTA ndio Serikali yenyewe.
======
SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA
(TUCTA)
TARIFA KWA WAFANYAKAZI KUHUSU AHADI YA NYONGEZA YA MSHAHARA YA KILA MWAKA (ANNUAL...
Hallo,
Moja kwa moja kwenye uzi, katika kumzungumzia J.K.Nyerere upande wake wa mazuri ndio unaotukuzwa sana kwa sifa kedekede hali hii imefanya upande wake mbovu kutokuzungumzwa.
Katika makosa makubwa aliyofanya huyu mzee ni kutengeneza taifa la kijinga, sio upande wa Tanganyika wala sio huu...
Hukumu hiyo ilitolewa na hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Victor Kimario.
Kimario, akisoma hukumu hiyo ya uhujumu uchumi ya mwaka 2023, alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 17 katika Kijiji cha Matufa, wilayani Babati.
Alisema mshtakiwa alikutwa amebeba meno matatu ya tembo...
Mwanamke Mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Jackline Mnkonyi mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa Sombetini Jijini Arusha mei 23 mwaka huu majira ya saa 5 usiku alipata kipigo kikali kutoka kwa mume wake ikiwa ni pamoja na kung’olewa meno mawili na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.