MBELE KUNA GIZA NENE, KULIA NA KUSAGA MENO!
Anaandika, Robert Heriel.
Njia imesonga, nuru inazidi kufifia, Kurudi nyuma haiwezekani, mbele nako giza limetanda, twajua tulipotoka lakini hatuna uhakika wa hatma yetu.
Pale nguvu zitakapotuisha, akili itakapo poteza uwezo wake wa kufikiri. Nini...