Ukifungua ukurasa wa Google au YouTube kisha ukaandika John Stephen Akhwari hakika kile ambacho utakiona kitakufanya utamani kutazama mpaka mwisho.
Jina la mtu huyo litajitokeza mara nyingi kwenye kurasa hizo na k a m a u n amfahamu b a s i itakufanya utamani kumtazama na kuona historia yake...
Johannesburg - Afrika Kusini ndiyo nchi hatari zaidi barani Afrika
Pretoria iliorodhesha juu zaidi barani kwa alama za uhalifu wa 82, ikifuatiwa na Joburg, Durban, Cape Town, na Bloemfontein. Uhalifu unaojulikana zaidi katika kila moja ya miji hii, ikiwa ni pamoja na rushwa ya polisi, shambulio...
Beki wa zamani FC Barcelona ameendelea kubaki chini ya ulinzi wa Polisi jijini Barcelona Nchini Hispania kutokana na tuhuma zinazokabili wakati uchunguzi ukiendelea.
Alves (39), anadaiwa kumshikashika na kumpapasa mwanamke mmoja bila ridhaa yake katika ukumbi wa muziki, Desemba 2022, tuhuma...
Mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin "El Chapo" Guzman ameomba msaada kwa Rais wa Mexico kutokana na madai ya mateso ya kisaikolojia anayopata katika gereza la Marekani.
"Katika miaka sita ambayo Joaquin amekuwa nchini Marekani, hajaona jua," alisema Jose Refugio Rodriguez, mwakilishi wa...
Ukamatwaji huo wa Ovidio Guzman-Lopez ambao pia umetajwa kuihusisha Marekani kumesababisha machafuko maeneo tofauti kwenye Jimbo la #Sinaloa kutoka kwa makundi ya kihalifu na kusababisha kifo kwa maafisa watatu.
Ovidio ‘The Mouse’, ndiye anaendesha biashara za dawa za kulevya na uhalifu...
Tukio limetokea Mji wa Ciudad Juarez baada ya watu wenye silaha kuvamia gereza wakiwa katika magari tofauti saa moja asubuhi na kuanza kushambulia. Waliofariki ni askari magereza 10 na wafungwa wanne huku 13 wakijeruhiwa.
Baadhi ya wafungwa walichoma moto vitu gerezani hapo na kupigana na...
Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa.
Mexico imethibitisha kwamba ilikumbwa na udukuzi mkubwa wa data zinazotunzwa na jeshi, ikiwa ni pamoja...
Mashuhuda waliripoti kuona majengo yanatikisika ingawa bado hakukuwa na ripoti za haraka za madhara kwa binadamu, huku meya wa Mexico City akiripoti kuwa hakuna uharibifu mkubwa.
Licha ya kutotangazwa madhara, agizo la kuhama kwenye maeneo ya hatari limetolewa.
Mamlaka ya Hali ya Hewa imesema...
Ripoti mpya ya Idara ya Takwimu (INEGI) imesema #Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana umeongezeka zaidi ndani ya miaka mitano iliyopita, uchunguzi umebaini wanawake 7 kati ya 10 wameripotiwa kukabiliwa na aina fulani ya ukatili.
Rais wa Idara hiyo, Graciela Marquez ameeleza kuwa unyanyasaji...
Mwili wa Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uhalifu, Juan Arjon Lopez aliyetoweka Agosti 9, umepatikana ukiwa na majeraha kichwani, Kaskazini-Magharibi mwa Mexico
Mwandishi huyo mwenye umri wa Miaka 62 alikua anaendesha Ukurasa Katika Mtandao wa #FaceBook akiangazia Habari na Matukio ya...
The United States is pushing its North American economic partners to clamp down on imports of Chinese goods produced by Uyghur slave labour.
U.S. Trade Representative Katherine Tai met with Canadian Trade Minister Mary Ng and their Mexican counterpart in Vancouver on Friday to discuss the...
Habari zenu wakuu,
Nina jamaa yangu amekuwa invited na washikaji zake Mexico, anataka afahamu utaratibu wa kupata visa ya Mexico upoje kama ni mgumu kama wa Marekani au namna gani.
Mwandishi wa habari, Antonio de la Cruz (47) ameuawa kwa kushambuliwa na risasi nje ya nyumba yake huku binti yake akijeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo Mjini Ciudad Victoria Nchini Mexico.
Marehemu alikuwa akiripoti katika Gazeti la Expreso kwa zaidi ya miaka 20, anakuwa mwandishi wa 12...
Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.”
President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
Marekani imesema itafungua Mpaka wake wa Ardhi na Mataifa ya Mexico na Canada kuanzia Novemba kwa Wasafiri waliopata Chanjo dhidi ya CoronaVirus.
Taifa hilo lilibana masharti ya kusafiri kutoka Mexico na Canada tangu Machi mwaka 2020 ili kudhiti maambukizi. Hata hivyo, wale ambao bado...
Mahakama Kuu ya Mexico imeamua kuwa uhalifu wa utoaji mimba ni kinyume cha Katiba, kwa kura ya pamoja Jumanne, uamuzi ambao utawawezesha wanawake wa Mexico kote nchini kutoa mimba bila kizuizi.
vigezo vya mahakama na Katiba, kumshtaki mwanamke anayetoa mimba katika kesi zilizoidhinishwa na...
Leo ni siku moja bahari ikizidi kuungua maana gesi ilipasuka imesababisha hali mbaya kwa viumbe huko mexico yucatan peninsula.
Bado serekali ijaeleza sababu ni hipi!
Bado watalaamu wanazidi kupambana kutatua hilo tatizo.
========
MEXICO CITY, July 2 (Reuters) - A fire on the ocean surface...
Tatizo la kiufundi limepelekea ndege ya Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris kurejea Maryland takriban dakika 30 baada ya kuondoka kuelekea Guatemala na Mexico
Air Force Two ilitua salama huku Harris akisema yupo sawa na wote walifanya maombi. Aliondoka kwa ndege nyingine saa moja na nusu...
MEXICO CITY (AP) — The notoriously violent Jalisco cartel has responded to Mexico’s “hugs, not bullets” policy with a policy of its own: The cartel kidnapped several members of an elite police force in the state of Guanajuato, tortured them to obtain names and addresses of fellow officers and is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.