mexico

  1. Sam Gidori

    Mexico: Watu 23 wafariki baada ya barabara ya juu kuporomoka

    Takriban watu 23 wamefariki dunia baada ya sehemu ya barabara ya juu kuporomoka na kupelekea treni ya abiria kuanguka katika barabara ya chini iliyokuwa na watu wengi wakati wa jioni siku ya Jumatatu. Waokoaji walilazimika kushikilia kwa kreni sehemu ya treni hiyo iliyokuwa imebaki ikining’inia...
  2. Miss Zomboko

    New Mexico imekuwa Jimbo jipya kuhalalisha matumizi ya Bangi kwa Watu wenye umri wa miaka 21 na zaidi

    New Mexico imekuwa Jimbo jipya kuhalalisha matumizi ya Bangi kwa Watu wenye umri wa miaka 21 na zaidi baada ya Gavana Michelle Lujan Grisham kutia saini miswada miwili kuwa Sheria. Gavana Lujan Grisham amesema Sheria hiyo ni hatua kubwa kwa Jimbo lake. Bangi inayotumiwa kisheria itabadilisha...
  3. Shadow7

    Mexico wabuni mtindo mpya wa Barakoa dhidi ya Corona

    Watafiti nchini Mexico wanadai kuwa wamebuni mtindo mpya wa Barakoa (mask) ambao utamuwezesha mtumiaji kuweza kula, kunywa na hata kuzungumza huku akiwa bado amejilinda dhidi ya Virusi vya Corona. Barakoa hiyo ambayo imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii na kuitwa ‘maski za pua’ zilionekana...
  4. Analogia Malenga

    Sera ya kupunguza uzito iliyotumika Mexico

    Mwaka 2013 Mexico ilitajwa na Umoja wa Mataifa kuwa na watu 32.8% ambao wamezidi uzito. Ili kudhibiti hilo serikali iliweka kodi kubwa kwenye vinywaji vyenye sukari. Katika hatua nyingine waliweka mashine zinazohesabu kiasi cha kuchutama na kuinuka ‘Squats’ ambapo waliweka mtu akipiga Squats 10...
  5. Infantry Soldier

    Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika? Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule...
  6. Analogia Malenga

    New Mexico: Watatu wafariki kwa kunywa vitakasa mikono ‘sanitizers’

    Watu watatu wamefariki, watatu wengine wana hali mbaya na mmoja awa kipofu baada ya kunywa sumu ya methanol. Madaktari wamesema walikunywa vitakasa mikono vyenye sumu hiyo Matukio hayo yaliwahi kuripotiwa Idara ya kuthibiti sumu New Mexico, kwa zaidi ya wiki, lakini walikuwa wanasema...
  7. isajorsergio

    Mexico | Estados Unidos Mexicanos

    | Mexico / Estados Unidos Mexicanos / United Mexican States Ni taifa linalopatikana bara Amerika Kaskazini na kwa kiasi Amerika ya Kati, likiwa na mipaka baina ya Marekani upande wa Kaskazini, bahari ya Pasifiki - Kusini Magharibi, Guatemala, Belize na bahari ya Karibi 'Caribbean' upande wa...
Back
Top Bottom