mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wabunge wanaoshauri vijana wajitolee ili wapewe kipaumbele kwenye ajira, onyesheni mfano wa ninyi kujitolea kwanza!

    Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii itatesa sana wale watakaoingia kichwa kichwa kujitolea wakati wako nje ya kundi hili la wateule...
  2. chiembe

    Waziri Hamza ni mfano wa kifaranga tu, Sasa tunaomba mtetea ajitokeze mwenyewe

    Zanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima. Namshauri aliyemtuma ajitokeze, kwa kuwa anafahamika vizuri. Waziri Hamza ni kifaranga tu, na mama yake (mama kuku) ndiye aliyempa hadhi...
  3. jastertz

    Inakuwaje serikali inakosa mishahara ya wafanyakazi wake mfano Kenya?

    Habari wana uchumi wa JF! Kama somo linavyosema hapo juu.. Kwa mara ya kwanza tangu Kenya ijinyakulie Uhuru 1963 , serikali imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma na wabunge. Kufikia sasa wafanyakazi wa umma hawajui ni lini watalipwa mishahara yao hali ambayo ilianza mwezi Disemba na...
  4. Titicomb

    Pele aingia katika kamusi kama kitu au mtu asiye mfano kwa ubora wake.

    Neno Pele limeingizwa katika kamusi ya Michaelis ya kireno. Neno hilo limetafsiriwa kama ifuatavyo: "Kitu au mtu ambaye siyo wa kawaida, kitu au mtu ambaye kwa mujibu wa ubora, thamani au ubora wake hawezi kuwa sawa na kitu chochote au mtu yeyote, kama Pele, jina la utani la Edson Arantes do...
  5. L

    Ethiopia ni mfano wa kuigwa kwa nchi zenye migogoro katika Afrika Mashariki

    Serikali ya Ethiopia hivi karibuni imefanya hafla ya kushukuru watu, makundi na serikali zilizochangia mchakato wa amani nchini humo. Tangu serikali ya Ethiopia na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) kufikia makubaliano ya amani mwishoni mwa mwaka jana, mchakato wa maafikiano nchini humo...
  6. B

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyozidi kuwa wa kipekee na wa mfano wa kuigwa duniani kote

    MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UNAVYOZIDI KUWA WA KIPEKEE NA MFANO WA KUIGWA DUNIANI KOTE. Na Bwanku M Bwanku. Kila ifikapo Aprili 26 kila mwaka, Tanzania huadhimisha siku Maalum ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounganisha Mataifa haya mawili na kuzaa Tanzania hii ya leo. Kwa...
  7. GENTAMYCINE

    Viongozi Waandamizi wote Serikalini igeni mfano Bora wa Waziri Dkt. Gwajima kuwa na Verified Account JamiiForums

    Pongezi nyingi Kwako Waziri Dkt. Gwajima D kwa kuamua rasmi bila Uwoga kuwa Verified Member hapa Changanyikeni Brains JamiiForums. Niwaombe sasa na Viongozi Waandamizi wote wa Serikali nanyi pia muigeni Waziri Dk. Gwajima kwa kujiweka Wazi hapa (kuwa Verified) ili Sisi akina GENTAMYCINE...
  8. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake , mfano mzuri ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake!

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za...
  9. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake, mfano ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa serikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo mengi yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na malengo yaliyokuwa kwenye vision ya nchi za...
  10. Mr No fair

    Kwa Tanzania ni sehemu gani unaweza kupata Chemicals mbalimbali

    Mfano labda nahitaji calcium carbonate, silicone ,Polyol Nk ni sehemu gani naweza kupata vitu kama hivyo labda TDI please Nisaidieni wana jamvi.
  11. M

    Course gani ya kuchagua kwa mwanafunzi aliyesoma tahasusi ya CBG?

    Kwema wajameni? Hivi Kwa mwanafuz WA f6 CBG course Gani nzuri za ku-apply chuo Kama anasifa mfano Ana division two
  12. sinza pazuri

    Roma, Wakazi na Linex ni mfano wa watu waliopishana na vipaji vyao!

    Awa ni watu walio kwenye muziki muda mrefu lakini kiuhalisia sio wasanii. Wanaupenda sana muziki lakini hawakuzaliwa kuwa wanamuziki. 1. Roma Huyu jamaa ana kipaji chake ambacho uwa nikimsoma twitter nakiona. Mshikaji ni content creator wa level kubwa sana alafu ni ile natural sio wa darasani...
  13. Ndondombi Mulin

    Deranged woman, is a no go zone

    Wanaume, Sikilizeni alichozungumza. Ukipata Mwanamke wa aina hii, na ukajifanya wewe ni wa pekee au mteule, ukabeba jukumu la kusema utambadilisha, basi tambua kuanzia hio siku utakuwa umebakiza Sikukuu chache sana hapa duniani. Be a Man, respect yourself.
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Latifa Juwakali: Rais Samia ni Mfano wa Kuigwa Amefanya Mkabwa Ndani ya Miaka Miwili.

    MHE. LATIFA JUWAKALI ASEMA RAIS SAMIA NI MFANO WA KUIGWA, AMEFANYA MAKUBWA KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI. Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Mkoa wa Unguja Mhe. Latifa Khamis Juwakali amesema kwa Miaka Miwili ya Madarakani Rais Mhe.. Samia Suluhu Hassan amekuwa mfano wa kuigwa maana amefanya...
  15. Jicholamwewe

    Msaada kwa anayejua college au vyuo vya ufundi nje ya Tanzania kama vile Marekani, Canada n.k

    Habali wakuu? Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea. Nimejalibu njia nyingi lkn bado sijafanikiwa nikaona ngoja nijalibu kwa upande wa elimu. Mimi...
  16. JanguKamaJangu

    Kenya: Waandamanaji Kisumu wabeba masufuria na mfano wa jeneza

    Baadhi ya wafuasi wa Azimio wameshiriki katika maandamano yaliyofanyika katika Mji wa Kisumu wakipinga gharama ya maisha kuwa juu na kushinikiza Serikali ya Rais William Ruto kuchukua hatua. Baadhi yao wakiwa wakiwa na masufuria, miko mabango yaliyoandikwa ‘Njaaaa!’ huku wakisikika wakiimba...
  17. britanicca

    Mbowe jitafakari ni muda wa kuachia Madaraka kwenye Chama chako, onesha Mfano

    Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini? Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha, Mbowe muachie Lissu aongoze Chama nitawapa mbinu...
  18. BARD AI

    Serikali iachane na Sera zinazobana Wawekezaji, mfano kumtaka Elon Musk kuweka ofisi za Starlink Tanzania

    Kitendo cha Waziri Nape Nnauye kusema bado Serikali haijafikia muafaka wa kumruhusu Mwekezaji na Tajiri namba 2 duniani, Elon Musk kuwekeza nchini ili kutoa huduma ya Intaneti yenye kasi kupitia Satelite hadi atakapoweka ofisi zake nchini Tanzania, inaonesha wazi bado tumekumbatia Sera za...
  19. Hemedy Jr Junior

    Hivi hata Ulaya kuna sehemu zimepewa majina ya nchi mfano hapa Tanzania kuna street inaitwa Morocco, Argentina nk

    Naomba kufahamu hilo au tunajipendekeza .....
  20. Idugunde

    CHADEMA muwe mfano wa kuheshimu Demokrasia

Back
Top Bottom