mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

    Muda mfupi uliopita nimetoka kuangalia pambano la ngumi kati ya Bondia Mwakinyo na Smith,pambano ambalo limeniudhi na hata kunitoa machozi! Kama kawaida Mwakinyo ameonyesha tabia halisi ya Watanzania walio wengi! Watu wasiokuwa na confidence,malengo wala ndoto kubwa (big dreams)! Watu...
  2. Corticopontine

    Waliompenda Rais Samia toka zamani wengi wao walikuwa wanaitwa Sukuma Gang, wafuasi wa mwendazake walitaka asifike alikofika leo

    Rais Samia tuliokupenda tulikuambia ukweli kuwa njia uliyoanza nayo haikuwa sahihi ulianza kabisa kwa kutoboa matundu ya kukusanyia pesa ili hali ukijua kuwa kuwalegezea matajiri lazima masikini ateseke. Mimi nilitumia principle ya physics inaitwa principle of conservation of energy which...
  3. Poker

    Simba Queens ni mfano wa kuigwa namna taasisi imara inavyoendeshwa kwenye mpira!

    Simba queens imekuwa timu ya kwanza ya wanawake kutoka Tanzania kwenda kushiriki ligi ya mabingwa Africa. Hapo unaona uwekezaji mkubwa unaofanywa na mo dewji ukisimamiwa na mwanamama babra Gonzalez ambaye ni moto wa kuotea mbali kwenye usimamizi wa taasisi ya mpira. Simba kwa sasa sio level...
  4. Rashda Zunde

    Serikali inathamini wananchi wake, mfano ni Wanamsomera

    Miaka ya 1970 wananchi walihama kutoka sehemu moja hadi nyingine ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii. Sasa wananchi wanatoka Ngorongoro kwenda Msomera kwenye huduma bora za kijamii zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya 6. Wanapohamia Msomera wanaenda kuwa maisha bora na kupata...
  5. J

    Tundu Lissu atoa elimu ya Uraia kuhusu Usalama wa Taifa na Mamlaka yao Kisheria. Viongozi na wasomi wengine waige mfano huo wa kuelimisha jamii.

    ..kwa kweli elimu anayoitoa ni ya kupigiwa mfano. ..Ni vizuri wananchi wengi zaidi wakaelewa haki zao.
  6. F

    Wasomi wetu mbona hamfungi Ndoa za umri mdogo kama zamani mfano Rais wa Kenya Ruto na Mkewe Recho?

    Habari wadau. Nimeona kwenye tv. Historia ya mshindi wa urais Kenya. MR RUTO. Alimaliza degree yake ya sayansi ya mimea katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1991 na alifunga ndoa na mchumba wake baada tu ya kumaliza chuo. Alifunga ndoa huku yeye Ruto akiwa na umri miaka 23 na mkewe Recho...
  7. F

    NEC igeni Mfano wa IEBC ya Kenya

    Tarehe 09.08.2022 taifa la Kenya lilifanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi mbalimbali wa taifa hilo. Upigaji kura ulifanyika vizuri kwa amani kwa mujibu wa waangalizi wa Kimataifa, kwa muktadha huo naipongeza IEBC yenyewe, serikali na police wa Kenya kwa kutekeleza majukumu yao vizuri. Jambo...
  8. robinson crusoe

    Waziri wa Elimu, ubora wa Vyuo Vikuu hauko sawa; natoa mfano wa SUA

    Vyuo vyetu bado viko hoi sana hata kwa miundombinu tukilinganisha na waliotuacha kama South Africa. Bila ushabiki, kupitia mitandaoni SUA imekuwa ikisikika kama mfano wa chuo bora kwa uwezo wa wahitimu wake. Ni mfano wa wahitimu wavumilivu na wabunifu ktk taaluma zao. Hata hivyo, adui mkubwa...
  9. D

    Wanasiasa (Zitto na Kitila) acheni kuingilia mambo ya mipira, Mnategemewa kuwa mfano katika kuheshimu mamlaka

    Sakata la Manara tuwaachie TFF! Walichokiamua wao sisi kama watazamaji tunatakiwa kuheshimu! Kama kuna rufaa mwacheni mhusika mwenyewe! Kuilaumu TFF ni ishara ya kupungukiwa hekima; Watu kama ZITTO sikutegemea kabisa waoneshe ujinga hadharani! Kuna yule pia anajiita Prof. MKUMBO, huyu naye...
  10. benzemah

    Mnyeti ni mfano hai wa Wabunge mizigo na anayehatarisha diplomasia ya nchi

    "ALEXANDER MNYETI" sio jina geni katika siasa ya Tanzania. Wengi wanakumbuka ugomvi wake mkubwa na waandishi wa habari mkoa wa Arusha wakati akiwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambapo chanzo kinaelezwa kuwa ni Mnyeti kumuweka ndani mwandishi wa ITV (Arusha) Halfan Liundi kwa kile kilichoelezwa kuwa...
  11. sky soldier

    Mfano mdogo wa jinsi Nyerere alivyoongoza kwa hisia zake na mawazo yake bila kufata Katiba ama kupenda kupingwa

    Baada ya kuhitimu sekondari, Sitta alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kusomea Shahada ya Sheria (LLB) mwaka 1964. Sitta alisoma shahada hiyo kwa miaka saba kati ya mwaka 1964 na 1971, baada ya kufukuzwa chuoni hapo mwaka 1966 alipokuwa mwaka wa pili; akiwa kiongozi wa wanafunzi...
  12. figganigga

    Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

    Salaam Wakuu, Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa. Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha...
  13. Ettore Bugatti

    Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

    Wakuu, Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na kuwashauri ujinga mabinti zetu na wanawake walio katika unyoofu wa maadili. Nashauri wanaume mnaojielewa...
  14. M

    Ukraine yaitishia USA: Yasema isipopewa makombora ya masafa marefu "itaibwatukia na kuisemea mbovu mbovu kwa kiwango ambacho kitakuwa cha mfano”

    Nilishawahi kusema kuwa mwisho wa siku Zelensky na Ukraine yake watajakuwa maadui wakubwa sana wa Marekani na NATO kwa ujumla. Kisa ni kwamba haiwezekani kuipatia Ukraine kila inachokitaka bila kuangalia athari yake kwa usalama wa dunia! Kwa mfano Zelensky alikuwa anataka NATO waweke NO FLY...
  15. New ID l

    Mfano CHADEMA imeshinda na kimekuwa chama tawala hapa nchini, unadhani nini kitabadilika?

    Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani. Ni upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili. Watu ni walewale, nchi ni hiihii kama ulikuwa hujui! Acha kupoteza muda na kushabikia ulaji wa wenzako. Hao wote ni kitu...
  16. N

    Battle analysis: Wapiganaji wa Ukraine ni mfano halisi wa uzalendo uliotukuka

    Kila taifa lina tunu zake ambazo kimsingi ndio kimsingi ndio nguzo na uhai wa taifa husika. Logically speaking, najivunia kuwa mtanzania kwani tumebarikiwa kuwa na tunu ya amani na upendo miongoni mwetu. Kutokana na uwepo wa propaganda nyingi watu wengi wamekuwa blinded na aggressive traits za...
  17. U

    Binti wa Raila Odinga, Rosemary ni mfano wa kuigwa

    Rosemary ni Binti mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhesh Raila Odinga Ni mfano wa kuigwa kwa namna anavyojishughulisha kiuchumi bila kujali nafasi kubwa ya Babake anayeongoza kwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya Agosti 2022. Hongera Kwake
  18. Q

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
  19. Crocodiletooth

    Kenya yaupiga mwingi,tuige mfano huu wa kenya tusonge mbele zaidi.

    Ubunge iwe ni nafasi ya mtu mwenye uchungu na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi na usiwe kigezo cha mtu kwenda kujichumia mali .
  20. BrysonM

    Canossa (Mshindi wa 5 kitaifa, form IV 2018) kuwa shule ya kuigwa kwenye matumizi ya teknoloja ya ufundishaji

    Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya teknolojia ya ufundishaji Tanzania. Kama umeangalia hio video utagundua wanatumia mfumo unaitwa...
Back
Top Bottom