mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Naomba mfano wa Taifa lililoshusha gharama ya maisha kwa kutumia Katiba?

    Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote...
  2. Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

    Bright and Genius Editors P.O. Box 3456, Dar es Salaam Phone: 0687746471 Email: bandg.editors@gmail.com 09 February 2025 Commissioner General, Tanzania Revenue...
  3. J

    Wafuasi wa Magufuli mbona ni waoga hivi? Chukueni mfano kwa hawa

    Trump, Magufuli, Bolsonaro, Hawa ni marais 3 walioibuka na style zao za uongozi zilikuwa zinafana kwa kiasi fulani. Walikuwa wakiamini wao ndio wakombozi wa nchi na wanajua kila kitu na viongozi wengine waliowatangulia walikuwa sio chochote. Wafuasi wao nao wanafanana kwa kiasi kikubwa...
  4. J

    Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

    Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa. Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k. Ni...
  5. Heko Galaxy ya Igunga: Vyoo vyenu kwenye Kituo cha mafuta ni mfano wa kuigwa

    Nimepita Igunga nikielekea Muleba kwa ajili ya Mwaka Mpya na Familia yangu. Nimesimama kwenye Kituo cha mafuta kinaitwa Galaxy hapo Igunga, Kuna tatizo la vyoo nilikuwa naliona maeneo mengi ila jamaa wameweza. Vyoo visafi husikii harufu ya mikojo wala kinyesi. Maji vyooni ya kutosha na sabuni za...
  6. Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

    Msanii Nguli, LUIZA MBUTU amedumu kwenye ndoa yapata miongo kadhaa sasa, Hana makeketofauti na wasanii wengi nchini. Tumeshuhudia ndoa za wasanii wengi kutokudumu ikiwemo Harmonize Vs Kajala, Wema Vs Jumbe, UWOYA Vs Ndikumana, Dogo janja vs Uwoya, **esma Vs petit, esma (Tena) Vs msizwa, Haji Vs...
  7. Niliwahi kutoa wazo kama hili kwenye mkutano wa kijiji, watu wakaishi kucheka. Sasa natoa mfano!

    Habari za wakati huu expert mwenzangu[emoji4] siku moja nitauliza ni kwanini tunaitwa "experts" isije kuwa ni maexperts wa kuandika nyuzi[emoji23][emoji119] ..mnaokaa karibu na bahari, maziwa na mito, jamani mungu awape macho, hiyo ni fursa. ninaishi sehemu ambayo upatikanaji wa maji ni...
  8. K

    Rais Samia: CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine

    "Ikumbukwe kuwa CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine hivyo, katiba sheria na kanuni lazima zifatwe.”-Rais Dkt. Samia Suluhu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amezungumza hayo wakati akifungua mkutano wa kumi wa CCM uliofanyika leo mkoani Dodoma. Katika...
  9. Uchafu wa uchaguzi uliotajwa kufanyika CCM, huu ndio mfano mmoja wapo (video)

    Hiki ndiyo kilichokuwa kikitokea kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Simiyu ambao ulifanyika Alhamis ya wiki iliyopita, Novemba 17, 2022 Huu anayeonekana ‘staa wa muvi’ ni Diwani wa Viti Maalum Wilaya ya Maswa, Witness Philipo (Mama Dwese) akionekana kuweka...
  10. R

    Kwa Mfano Ndege iliyoanguka ingekuwa ni Ndege ya Adui kutoka Taifa jirani ingechukua Muda gani kukabiriana nayo?

    Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini. Ingechukua muda gani kukabiriana na adui huyo? How fast is our rapid response teams for any aspect of...
  11. Kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa matone

    Kiasi na muda wa kutokwa na damu ya hedhi kwa ufanisi wa homoni ya ''estrogen'' kunaweza kutofautiana sana, kulingana na muda na kiasi cha homoni ya 'Estrogen'' kilichopokelewa na tabaka la ndani la mji wa uzazi (endometrium). Sababu kuu ya mwanamke kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa...
  12. B

    Lililokuwa taifa la kupigiwa Mfano halipo tena

    Tanzania ya enzi za Nyerere ikiheshimika kila pembe ya dunia haipo tena. Tanzania hiyo ilikuwa na misimamo yake iliyojulikana na isiyotetereka. Uhuru wa Tanzania hiyo haukuwa na maana yoyote bila Afrika yote kuwa huru. Uhuru wa Tanzania hiyo haukuwa na maana yoyote kama kulikuwa na ukiukwaji...
  13. M

    Mambo ya Walawi 18:22: Usilale na mwanaume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo

    Katika sura yote ya 18 ya kitabu cha mambo ya Walawi kwenye Biblia, Mungu amekataza mambo machafu yahusianayo na ngono ikiwemo kuoana na ndugu wa karibu, ikiwemo pia kulala na wanyama. Uzi huu ni kumbushio maalumu juu ya unajisi utokanao na ushoga. Uchafu wa mambo hayo HUINAJISI NCHI, hata nchi...
  14. Huu ni mfano wa kuigwa. Raia wema wasalimisha silaha haramu huko Ruvuma

    Kamanda wa Polisi Mkoa Ruvuma ACP MARCO CHILYA akionesha baadhi ya silaha zilizosalimishwa na raia wema baada ya Notisi ya msamaha wa usalimishaji wa silaha kwa hiari zinazomilikiwa kinyume cha sheria.
  15. J

    Kumbe mahakama ya ICC inasaidia sana Africa kuwa na amani, mfano huu hapa

    Mahakama ya ICC inasaidia sana kutunza amani Afrika Raila Odinga, mgombea urais katika uchaguzi wa Kenya uliopita amekiri aliogopa kushtakiwa ICC ndio maana hakuleta vurugu awamu hii ICC imekuwa ikilaumiwa kuwa inawaonea viongozi wa Afrika kwani ndio wamekuwa wakishtakiwa huko tu, japo hili...
  16. Mkurugenzi PSSSF kikaangoni kwa kujikopesha fedha ya kujinunulia gari

    Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba 12, 2022amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kujipatia mkopo wa gari binafsi wenye thamani ya Shilingi 196,570,931.00 kinyume na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa...
  17. T

    SoC02 Tufanyeje kupata Jiji la mfano kimazingira, Bajeti isiwe sababu

    Utangulizi Muonekano wa mji au jiji una nafasi kubwa sana katika furaha ya mtu, kuanzia kiakili mpaka kiuchumi. Sasa,ni muda sahihi, kuwa na mji ambao tutakutana na hewa safi, muonekano safi, bustani nzuri, miti bora ya barabarani na kivuli chake katikati ya mji. Si wakati wa kukutana mara kwa...
  18. Katiba Mpya: Rais akifanya kosa la jinai ofisini ashitakiwe, Trump ni mfano mzuri

    Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani. Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika...
  19. Naibu waziri wa maji, Mhandisi Marryprisca Mahundi ni Kiongozi shupavu mfano wa kuigwa

    Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya nchi yetu lakini bado hachoki kupambanua taifa lake Tanzania. Zaidi Ni kiongozi anayependa kusikiliza...
  20. K

    Kenya ni mfano wa kuigwa kwenye Demokrasia

    Kenya imekuwa mfano mzuri wa kuigwa kwasababu kila uchaguzi wanafanya vizuri zaidi. Ukweli ni kwamba pamoja na matatizo yao wanapiga hatua mbele kwenye demokrasia wakati nchi jirani karibu zote ziko palepale. Juzi walisema mimi ni Mwigulu kwasababu ya kumtetea Mama Samia kwenye tozo. Leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…