Natamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada wa kisheria.
Juzi, Afumwisye alipokea barua iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja...
Nilikuwa wa kwanza kushtuka kusikia fedha walizolipwa wafanyakazi wa MSD, lakini Baada ya kufanya utafiti nimebaini Kila mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje ulipwa zaidi ya dola 350. Kabla ya kulalamikia MSD ni vyema tukafahamu sheria inayotumika kufanya malipo.
Kwa viongozi wakuu wa Nchi...
Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021
Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi, ambapo katika video iliyorekodiwa...
Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.
Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi...
Anahitajika msichana wa kazi kutoka sehemu yoyote ndani ya Tanzania.
SIFA: umri kati ya miaka 18- 25
Mshahara: 70,000 (elimu ya darasa la saba kushuka chini) au 100,000 (elimu ya o'level)
Eneo la kazi: Tanga mjini
Awe tayari kuhama mkoa ikiwa muajiri atahamia mkoa mwengine.
Malazi na...
Wana JF,
Nijambo la kusikitisha sana kuona kiwanda cha mzalendo kilichojizolea sifa kemikemi kufanya hujuma na kufanya unyanyasaji wa wafanyakazi kwa kiwango chajuu.
Mpaka sasa hakuna mfanyakazi anaijua kesho yake maana mwenye kiwanda anakuwa kana ana kichaa. Hadi kuna wakati anamfukuza hadi...
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga limeazimia kumfukuza kazi mfanyakazi mmoja wa halmashauri hiyo kwa kosa la utoro kazini huku likiwapeleka kwenye kamati ya maadili wafanyakazi watatu wa halmashauri hiyo wakiwa na makosa hayohayo.
Akisoma maamuzi ya baraza hilo Desdeurius...
"...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao."
"...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka...
Leo nimepata sehemu nimekuta watu wanamuongelea bdozen ila nilikuwa na haraka sikuelewa story nzima
Huyu mtu ni nan and why watu wanamuongea hivi [emoji848]
Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia peke yangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.
Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani...
Utangulizi
Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k
Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya:
Sifa
1. Uwezo wa kutumia computer...
Stationery ipo Mwanza Maeneo ya chuo kikuu cha Mt. Agustino (St. Augusitne University of Tanzania)
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe mkazi wa Mwanza (Maeneo jirani na chuo) (kama sio mkazi awe na pakuishi)
Awe na elimu ya kidato cha NNE na kuendelea
Awe na ujuzi wa computer pamoja na vifaa vingine vya...
Mnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo.
LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu...
Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi.
Cha kushangaza...
Kama wewe uko home tu huna kazi yeyote yawezekana upo unatafuta kazi bado hujapata au ni mama wa nyumbani,au ni kaka wa nyumbani kazi yako kubwa ni kuingia mtandaoni kusoma kuangalia dunia inaendaje nk.
Leo nimekuja natafuta mtu aina yako,ambaye ataweza Post matangazo 24/7 na kujibu comment za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.