mfanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mcqueenen

    Mfanyakazi wa mgahawani anatafutwa

    Habari: Anatafutwa mdada wa kupika Na kuhudumia mgahawa. Location Kimara Mwisho Darajani. Mshahara 4000
  2. Suley2019

    Arusha: Mtoto anyongwa na Mfanyakazi wa ndani

    Mtoto wa mwaka mmoja, Tifan Osward wa Olasiti Arusha amenyongwa na msaidizi wa kazi za ndani aliyeajiriwa miezi miwili iliyopita. Msaidizi huyo ambaye ametokea Mkoa wa Mara aliajiriwa na wazazi wa mtoto huyo miezi miwili iliyopita. ACP Justine Masejo, Kamanda wa Polisi Arusha amesema tukio...
  3. Analogia Malenga

    Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

    Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol. Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye...
  4. M

    Video: Boss mchina apokea mkong'oto kutoka kwa mfanyakazi mwafrika

  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Bodi ya wakurugenzi Microsoft kumchunguza Bill Gates kutokana na tuhuma za kutembea na mfanyakazi

    Bodi ya wakurugenzi Microsoft inachunguza tuhuma za Bill Gates kutembea na mfanyakazi wa kampuni hiyo miongo miwili nyuma. ======= The board used an external law firm for a ‘thorough investigation’ but did not reach a conclusion as Gates stepped down. Microsoft Corp. conducted an...
  6. stineriga

    Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta anahitajika Dodoma

    Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika. Majukumu: Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini wateja wanahitaji. Kituo cha kazi/duka lilipo: Mkonze, Dodoma Jinsia: awe mwanamke /msichana Umri...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Ewe mfanyakazi, jitahidi kuwatembelea wenzako ujifunze maendeleo wanayofanya

    Mnapokuwa kazini hasa kada au ofisi moja sometimes mnajisahau na kujiona kama ni kitu kimoja kwa 100%. Unapomtembelea mwenzako unaweza kuamkwa na akili utakapoona ana nyumba nzuri zaidi, ana projects ambazo hata kibarua kikiisha au akiamua kuacha kazi hawezi kuyumba. Pia, ukimkuta amelala...
  8. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Heri ya siku ya wavuja jasho!

    Habari zenu! Ewe mfanyakazi na hata ulie jiajiri katika sekta binafsi. Siku kama hii ya leo 01/05 unaitumia kutafakari nini juu ya ufanisil jitihada na juhudi ulizofanya kufikia malengo ya mwajiri wako? Au unawaza kuongezwa mshahara tu? Nawe uliejiajiri je umefikia malengo yako na uliowaajiri...
Back
Top Bottom