Mtoto wa mwaka mmoja, Tifan Osward wa Olasiti Arusha amenyongwa na msaidizi wa kazi za ndani aliyeajiriwa miezi miwili iliyopita.
Msaidizi huyo ambaye ametokea Mkoa wa Mara aliajiriwa na wazazi wa mtoto huyo miezi miwili iliyopita. ACP Justine Masejo, Kamanda wa Polisi Arusha amesema tukio...