Hujambo! na Karibu, video hii itakufundisha Jinsi ya kutumia huduma ya usajili wa Jina la Biashara kwenye mfumo wa BOS.
Baada ya kuingia kwenye mfumo, utabofya sehemu iliyoandikwa Business Names na ukurasa ukifunguka utaona huduma zinapatikana kama vile
Bussiness Names – Hapa utaweza...