mfumo wa nest

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Nest jaribuni kupunguza gharama za malipo mnaumiza wazabuni wenu na nyiwe wenyewe

    Mfumo Nest ni mzuri sana sababu tenda zinakuwa wazi na nyaraka za tenda zinakuwa nazo wazi. Ila gharama za ku apply tenda ndio zinaumiza sababu wazabuni wanakuwa wengi na hukikosa pesa imekwenda. Kitu kingine mumeweza kuingiza shule nao wapitie kuomba kwenye Nest. Ila tenda za walimu unakuta...
  2. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender

    Hiini kwa wale wote wenye Biashara au kampuni na wanashindwa Kutumia Mfumo wa Nest Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender 👉 Wasiliana Nasi 0764 148 221
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa NEST sasa umekuwa ni jipu, ulianza vizuri lakini sasa kuna dalili za upendeleo

    Mimi ni tenderer kwenye Mfumo wa Kielektroniki wa Manunuzi ya Umma (National - e - Procurement Systemwa - NEST) ambao mwanzoni ulikuwa mzuri kabisa. Na kama kijana nilihamasika ku-comply ili niweze kuwa naomba kazi za Serikali, ni fani ya Ushauri Mazingira lakini kwa sasa pamekuwa pagumu sana...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Naipongeza serikali kwa mfumo wa NEST japo bado una changamoto kubwa

    Huu mfumo wa manunuzi serikalini kidigitali (National e-Procurement System of Tanzania) kwa kifupi NEST ni mfumo mzuri ambao utasaidia kupunguza upigaji na kuleta fair play kwenye kutoa tenda za serikali. Ni kitu kizuri kuwahi kufanywa na serikali. Wajasiriamali wenye kampuni ndogondogo...
Back
Top Bottom