Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Mfumo Nest ni mzuri sana sababu tenda zinakuwa wazi na nyaraka za tenda zinakuwa nazo wazi.
Ila gharama za ku apply tenda ndio zinaumiza sababu wazabuni wanakuwa wengi na hukikosa pesa imekwenda.
Kitu kingine mumeweza kuingiza shule nao wapitie kuomba kwenye Nest.
Ila tenda za walimu unakuta kataka maitaji ya 60000 hapo hapo kumbuka wewe ume apply tenda yake wamekukata 10000.
Bado kwenye kugombania tenda kuna ushindani wa bei ambapo mwenye bei ya chini ndiye anapita.