mfumo wa sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Usikilizwaji Kesi ya Lissu vs mwitikio Serikali na Vyombo vya Dola, Mfumo wa Sheria na Haki ni Mfu?

    Wakuu, Kabla ya siku ya kesi kusikilizwa yalitoka matamko mengi ya kuzuia wananchi kwenda kusikiliza kesi hiyo na vitisho mbalimbali kuwa watakaojitokeza watashughulikiwa. CCM nayo hakikuwa nyuma kwenye kurusha vijembe wakisindikizwa na chawa wao kuwa wanaotaka kwenda kusikiliza kesi hiyo ni...
  2. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kwanini polisi wameweka pembeni PGO na kuamua kukamata raia kwa kutumia nguvu kubwa? Je, nao hawaamini mfumo wa Sheria?

    Kuna mtindo mpya wa polisi napengine idara zingine za usalama kuvizia, kukimbiza raia wenye tuhuma za makosa. hata high profile citiezen ambao wangeweza kupigiwa simu na wange report kituoni bila shida nao wameonekana kukimbizwa kama vibaka. Na wakati mwinge wakiwa kwenye kundi kubwa na silaha...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Sheria wa Tanzania unabagua Wahalifu kulingana na uwezo wa uchumi au cheo?

    Kweli, hili linaniogofya sana! Kuna hali isiyo ya kawaida katika utoaji wa haki hapa Tanzania. Hili linajitokeza hasa miaka ya sasa. Nimegundua wenye uwezo wa kiuchumi na vyeo serikalini huwa wanabebwa na kutoadhibiwa pindi wanapofanya makosa, tofauti na miaka ya nyuma. Kuna mifano hai...
Back
Top Bottom