PreGE2025 Usikilizwaji Kesi ya Lissu vs mwitikio Serikali na Vyombo vya Dola, Mfumo wa Sheria na Haki ni Mfu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Kabla ya siku ya kesi kusikilizwa yalitoka matamko mengi ya kuzuia wananchi kwenda kusikiliza kesi hiyo na vitisho mbalimbali kuwa watakaojitokeza watashughulikiwa.

CCM nayo hakikuwa nyuma kwenye kurusha vijembe wakisindikizwa na chawa wao kuwa wanaotaka kwenda kusikiliza kesi hiyo ni wavunja amani, wanataka kueleta machafuko!

Mpaka unajiuliza kwani kuna kingine wanachoenda kufanya zaidi tu ya kutaka kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo? Yaani mwananchi kutaka kupata taarifa imekuwa kosa kiasi cha kutolewa matamko ya kutazwa kufanya hivyo? Sababu ni nini hasa?

Ilipofika siku ya kesi kama kawaida polisi hawakutuangusha, upuuzi wao wanaoufanya miaka yote upinzani wakihusika wakafanya tena. Watakanda barabarani kuanzia jana yake usiku na mpaka siku yenyewe.

Lakini hawakuishia hapo, safari hii kumetokea mpaka mauji ya raia! Yaani mtu anapigwa mpaka kufa kisa tu alitaka kwenda kusikiliza kinachoendelea kwenye kesi ya Lissu?

Tumeshuhudia viongozi na wanachama wa CHADEMA wakiumizwa na kupigwa, sababu tu walitaka kutekeleza kitu ambacho katiba inawaruhusu?

Wakati haya yote yanaendelea Mahakama ilikuwa imeuchuna! Tukapewa tamko kesi itaendeshwa mtandaoni, mara mtandao umegoma, tunakuja kusikia kesi imeahirishwa itaendelea wakati mwingine!

Mnakumbuka wakati ya maandamano Kenya na jeshi likataka kudeploy wanajeshi Mahakama ikatoa order wasithutu na wakatuliza mshono? Kwetu Mahakama iko ziiiii, ni kama mwanasesere inayochezeshwa kama mchezeshaji anavyotaka, inaingilia na kuamriwa vile watakavyo, nani anatoa amri hata mimi mwenyewe sijui🌚

Zaidi ya kutoa taarifa za uongo na kweli juu ya raia waliouawa na wengine kukaa kimya kabisa hakuna tamko lolote limetoka kwa serikali kukemea hayo na kuhakikisha haki inatendeka, mahakama ndio kama utafikiri kazi yao ni kuendesha kesi na kuhukumu pekee!

Kwa hali hii utasema tuna chombo cha mahakama nchini? Chombo kinachohakikisha sheria na haki inatendeka bila kujali nani yupo kizimbani?

Mahakama imekuwa mfu, imetufelisha kabisa wananchi na kuamua kuwa sehemu ya serikali na kuendeleza ukandamizaji kwa wananchi

Macho yanabaki kwetu watoa dhamana (wananchi), tutachukua hatua gani?

Pia soma:
 
Hii nchi imeshavurugwa tayari na wakoloni weusi wanaolazimisha kupendwa.
 
Huwa inasema kwa katiba hii ukipata Rais fyatu, anaweza kukugongea mkeo mbele ya familia yako na asifanywe kitu
 
IFIKIKE SEHEMU WATANZANIA MUELEWE

1. HATUNA MAHAKAMA ZA KUTUSAIDIA ,NI VYEMA TUKAWA TUNAWAWAJIBIHA WATESI WETU KWA MAHAKAMA ZETU WENYEWE
1.1 POLISI ,HAKIMU NA MAJAJI AMBAYE YUKO UPANDE WAKUTONEA ,TUSHUGHULIKE NAYE MTAANI NYUMBA YAKE,WATOTO WAKE NA NDUGU ZAKE WAPATE MKWARUZO KIDOGO .

2.POLISI,HAKIMU NA JAJI YEYOTE TUMWAJIBISHE KWA MAHAKAMA ZA JADI

HAKUNA HAJA YA KUFUNGUA KESHI MAHAKAMA ZA SERIKALI ,HAKUNA HAJA YA KUPELEKA KESI POLISI WA CCM
 
Back
Top Bottom