mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC04 Tanzania tuitakayo: Mfumo wa kujulisha na utambuzi wa vitu vilivyopotea na kupatikana katika jamii zetu

    Je, Ushawahi kupotelewa kwa Kitu cha “Thamani” au “Muhimu” …? Upatikanaji wake ulikuaje…Ulifanikiwa au Hukufanikiwa…TUANGAZIE MBINU NA NAMNA YA KULITATUA SWALA HILI. UTANGULIZI: Natumaini kundi kubwa la watu wengi wameshawahi kupotelewa na kitu fulani iwe kikubwa au kidigo kithamani, Muafaka au...
  2. A

    SoC04 Mfumo dume wa elimu yetu

    Kijana: "Nimechoka na huu mfumo dume unaopendelea mitihani kuliko stadi halisi za maisha. Hakuna uhusiano kati ya kufaulu mitihani na kuwa na mafanikio." Elimu: "Naelewa hisia zako, kijana. Lakini ni muhimu kutambua kuwa mfumo wa elimu haupaswi kupimwa tu kwa jinsi unavyopenda mitihani...
  3. Jeshi la Polisi laongeza muda wa maombi ya kazi baada ya Mfumo wa Mtandao wao kusumbua

    TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUOMBA AJIRA Mei 15, 2024 lilitolewa tangazo la kuongezwa kwa muda wa kuomba ajira na mwisho wa kutuma maombi hayo ilikuwa ni leo Mei 21, 2024. Kutokana na changamoto ya mtandao iliyoendelea kujitokeza, mnatangaziwa kuwa vijana wenye sifa na nia ya kujiunga na Jeshi...
  4. K

    Hivi serikali inawatafuta nini walimu kwenye ujenzi? Sasa huu mfumo wa manunuzi wa NeST imekuaje mmewahusisha?

    Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule. Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi lengwa. Mpaka hapa, safi tu. Anatakiwa aunde kamati mbalimbali zinazoshirikisha walimu wenzake, watendaji wa...
  5. B

    Mfumo wa Ajira kwa watumushi wa Serikali ubadilishwe ili kuleta matumaini kwa Watanzania waliopo shuleni

    Kwanza kabisa muasisi wa taifa letu hayati Mwalimu JK Nyerere alisema kila mtanzania anapaswa kupambana na adui watatu ambao ni: 1. Ujinga 2. Umasikini 3. Maradhi Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua tulipo fikia maana tumeweza kufaulu lakini sasa badala ya kupunguza maadui hapo basi...
  6. B

    SoC04 Tubadili mfumo wa elimu ili kusaidia jamii

    Utangulizi Salamu kwenu wana jukwaa. Andiko langu kwa Tanzania niitakayo litajikita katika Nyanja ya Elimu ya awali, msingi mpaka sekondari (Kidato cha Nne) Mfumo wa Elimu yetu bado haujaweza kukidhi matarajio ya wanafunzi wengi pamoja na wale wanaohangaika kuwasomesha. Wakati wanafanya...
  7. I

    SoC04 Mabadiliko yanahitajika katika mfumo wa elimu ya Tanzania katika miaka kadhaa ijayo

    Katika elimu ya chuo kikuu. 1: Kwenye mfumo wa elimu ya chuo kikuu kwa sasa mwanafunzi anapoanza chuo huwa anasoma masomo mengi tofauti tofauti ambayo mengine ni nje ya kile ambacho amelenga kukisomea. Kwa maoni yangu mimi naona pale mwanafunzi anapoanza chuo kwa mwaka wa kwanza ningeshauri kuwa...
  8. Mfumo mbovu wa elimu ndio unazalisha ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana wa kitanzania

    Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
  9. Je, kuna uhusiano wowote kati ya mfumo wa gesi na gear box ya lorry?

    Salaam wanafamilia, Naonaga mara nyingi dereva akibadili gear kwenye lorry kuna mlio wa gesi kuwa released kama sauti inayotoka akiapply brakes,, naomba kufahamu kama kuna uhusiano wowote wa gear na mfumo wa gesi kwenye trucks,, 🙏🏽
  10. A

    SoC04 Mfumo wa elimu bora wa kujitegemea na kujiajiri

    Tanzania tuitakayo: Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa elimu ambaye inamwandaa mwanafunzi kuja kuajiriwa na sio kujiajiri! Tunahitaji Tanzania ya vijana...
  11. J

    SoC04 Mabadiliko kwenye nyanja ya Siasa Elimu kwa wananchi

    Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi? Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
  12. SoC04 HeWasha: Mfumo mpya wa kuwasha Umeme 'Automatic' baada ya kununua units bila kujaza token kwenye Mita

    Utangulizi Wazo kuu ni kuboresha mchakato wa ununuzi wa umeme ili kuruhusu kuwaka moja kwa moja (automatic) mara baada ya units za umeme kununuliwa na mtumiaji, mfumo huu (HeWasha) unalenga kuleta urahisi mkubwa kwa wateja, na kuondokana na changamoto ambazo kwa sasa wanazipitia kama kwenda kwa...
  13. D

    Waziri Nape saidia mfumo wa polisi upo chini kwa wiki nzima sasa

    Zaidi ya wiki inaisha mfumo wa polisi uko down sijui umezidiwa na Watumiaji au Server ndio tatizo. Waziri atoe msaada wake.
  14. D

    Niliyoona leo kwenye mfumo wa ajira wa Polisi ni Kituko

    Katika harakati za kuwatumia madogo application za polisi leo nimegundua kuwa kuna tatizo upande wa database za hawa jamaa(www.polisi.go.tz) kwani ukiupload document za user huyu zinaenda kwa user mwingine pia hauwezi ku preview muda wote SERVER ERROR, kwa nchi kama hii na ukubwa wake ninasikitika.
  15. Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Mdau we unasemaje? Waingereza nao huu mfumo umewachosha. https://www.bbc.com/sport/football/articles/c4n1ndlknk1o
  16. Mfumo wa ajira umekuwa ni wa unyanyasaji na uzalilishaji

    Ni haki ya kila Raia kufanya kazi mahala popote nchini ikiwa atakuwa ni mwenye kutimiza vigezo na masharti ya nafasi atakayoiomba, ila kwa sasa imekuwa ni tofauti sana katika hizi taasisi zinazotoa huduma hii ya kuajiri mfano mdogo jeshi la polisi wenyewe wanatambua kuwa Kwa post walizotoa kuna...
  17. G

    Pre GE2025 Nasikitika kusema mfumo wa CHADEMA bado hauna uwezo wa kupewa uongozi wa nchi, labda waufanyie marekebisho au tuwape muda zaidi miaka 10 au 15 ijayo

    Habari wakuu Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo...
  18. F

    SoC04 Magonjwa yasiyoambukizwa yatokanayo na mfumo wa maisha janga lililogeuziwa kisogo, iwekwe mikakati imara kupambana nayo

    Magonjwa yasioambukizwa sio jambo geni masikioni mwetu, shuleni tumesoma baadhi ila kwa juu juu sana. Magonjwa yaliyopewa kipaumbele ni magonjwa ya kuambukiza, elimu yake imekua ikitolewa mpaka mtaani. Lakini kadiri ya siku zinavyosonga magonjwa yasioambukiza yamezidi kujinafasi na kua hatari...
  19. Mfumo wa ESS kwa Watumishi unasumbua

    Wakuu, hii Hali inanikuta Mimi tu au ni Kwa WATUMISHI wote. Kila nikijaribu kufungua hii web Huwa inagoma kabisa. Msaada tafadhali.
  20. M

    KERO Jeshi la Polisi liongeze muda wa kuomba ajira kutokana na changamoto ya mtandao

    Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania! Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua taharuki kwa vijana waliyokidhi vigezo vya kufanya maombi ya nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye mfumo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…