mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Murashani GALACTICO

    Kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa online RITA

    Nauliza je, utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa ONLINE RITA kwa mwaka 2023 / 2024 umeanza au bado? Nimejaribu ku-create account ili nianze mchakato wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa vya wateja na watu wangu wa karibu. Lakini hata hatua ya kwanza ku-create account...
  2. B

    Mfumo wa kuomba ajira wa TRA hauna sehemu ya namba ya NIDA

    Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO..... Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicodemus Maganga Aitaka Serikali kuwa na Mfumo Mzuri wa Kuwatambua Wastaafu

    MBUNGE NICODEMUS MAGANGA AITAKA SERIKALI KUWA NA MFUMO MZURI WA KUWATAMBUA WASTAAFU Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodemus Maganga amehoji Serikali kuwapiga chenga wastaafu pindi wanapoanza kudai mafao yao. Akiuliza swali la msingi, Maganga amehoji Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha pesheni za...
  4. Donnie Charlie

    Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

    Chuo Kikuu cha Iringa kimelazimika kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 50 baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada na kugoma kulipa ada ya kozi ya teknolojia ya habari (IT). Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Ndilirio Urio amesema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu wa malipo na Chuo kiliagiza matokeo ya...
  5. I

    Namna ilivyo vigumu kwa mfumo wa ulinzi wa anga (Patriot) kuharibiwa kabisa na kombora la Hypersonic (Kinzhal) Missile

    Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System. Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo...
  6. TheForgotten Genious

    SoC03 Wizara ya Afya iunde mfumo mmoja wa kompyuta wa afya utakaotumika katika ngazi zote za hospitali za Serikali ili kurahisihsa rufaa na mengineyo

    UTANGULIZI. Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa mambo mengi yanafanyika kwa njia ya mtandao na mifumo ya kompyuta, sekta ya afya inatumia mifumo ya afya kukamilisha huduma kwa wagonjwa ambapo taarifa zote zinakuwepo katika mfumo huo. Kila hospitali inatumia mfumo wake kulingana na...
  7. S

    SoC03 Ni mhimu kuwa na tovuti au mfumo wa matokeo kwa shule za msingi na sekondari ili kuwarahisishia wazazi na walezi kupata wepesi wa kufuatilia maendeleo

    Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na kuanza kuwasomea matokeo yao kuanzia mwanafunzi wa nafasi ya kwanza mpaka kwa mwanafunzi aliyepata...
  8. X

    Kifaa cha kuratibu mfumo wa kumwagilia maji (Irigation Controller)

    Kifaa hiki kinawafaa wale ambao wana bustani au mashamba na wangependa kuratibu muda wa kumwagilia bustani au mashamba Kipo vizuri sana hakina tatizo lolote. Kipo complete na koki yake
  9. KENGE 01

    SoC03 Mfumo bora wa kodi ni chachu ya maendeleo kwa taifa

    Habari za muda huu wanajamvi. Mifumo Bora wa Kodi ni nini na umuhimu wake? Mfumo bora wa kodi unaweza kutofautiana kulingana na malengo na mahitaji ya nchi husika. Hata hivyo, kuna mifumo kadhaa ya kodi ambayo imekuwa ikitekelezwa katika nchi mbalimbali. Hapa kuna mifumo miwili inayotumiwa...
  10. fungi06

    Maambukizi ya homa ya mfumo wa mapafu hewa, yanayosababisha mgando wa damu mwilini ni ugonjwa gani?

    Hiyo process inasemekana husababisha damu kuganda na moyo kusimama hapo hapo. Kwani homa hii inaambukizwajwe? Hayo maambukizi ya mfumo hewa yani mtu anaambukizwa vipi? Nawezaje kutambua ninazo dalili za gonjwa hilo? Nauliza pia ili nijue nawezaje kumpatia huduma yakwanza mtu mwenye gonjwa...
  11. BARD AI

    Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  12. M

    Mazoezi ni tiba ya moyo, ini na mfumo wa uzazi

    Nilikuwa na dalili za ugonjwa wa Moyo na Ini ambapo dalili hizo zilinianza nikiwa na miaka 42 japo ninaamini haikuwa kwa kiwango kikubwa. Kadiri siku na miaka ilivyoongezeka ndivyo hali hiyo ilivyozidi kuongezeka hadi kufikia kupatwa na mabadiliko mengine ambayo nilikuwa sina hasa la kupunguwa...
  13. L

    "WICLIFFE MOENGA" kijana, aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kunilipa mshahara

    "WICLIFFE MOENGA" kijana,aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kujilipa mshahara kwa muda wa mwaka mmoja bila serikali kujua. Aliongeza Jimbo nchini kenya na kuwa MBUNGE, na kuendelea kupokea Mshahara pasipo kujulikana. Elimu,imemkomboa japokuwa yupo mikono salama kwa Sasa.
  14. Infinite_Kiumeni

    Jali mchakato/ mfumo zaidi ya kuangalia matokeo tu ili uwe na maendeleo ya muda mrefu

    Matokeo yoyote yanatokana na mchakato/ mfumo fulani. Hasa matokeo yatakayokupa furaha na maendeleo kwa muda mrefu. Kujali mchakato ni kufanya kila unachotakiwa kufanya kwa muda huu bila kujali unavyojiskia, hatua inayofuata au matokeo yatakuaje. Mchakato unahitaji nguvu zako kila siku. Ukiwa...
  15. R

    Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
Back
Top Bottom