mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    SoC04 Mfumo wa kutambua wasomi

    Mfumo wa kutambua wasomi wote nchini Katika miaka ijayo serikali chini ya wizara ajira na kazi itengeneze mfumo maalumu wa kutambua wasomi wa kada zote nchini na kwa hatua zote za elimu .mfumo huo utakao tumiwa na wasomi kuweka taarifa zao za elimu. Hii itamuwezesha muwajiri wowote nchini...
  2. S

    SoC04 Mfumo wa upokeaji matukio ya unyaunyasaji wa kijinsia nchini

    MFUMO UTAKAO SAIDIA KURIPOTI MATUKIO YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NCHINI Kutokana na ongezeko kubwa la matukio ya unyanyasaji wa kijinsia nchini serikali ianzishe mfumo maalumu utakaotumiwa na wananchi kuripoti matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kma vile ubakaji. Matukio hayo kwa siku za...
  3. D

    SoC04 Tanzania Tuitakayo yenye Mfumo wa Serikali na si Chama

    Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu. Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
  4. Mwl. Nyerere aliasisi mfumo Kristo?

    Heshima sana wana ukumbi, Nimesoma maandiko mengi ya wanazuoni wa Kiislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakimtwisha zigo Mwl Nyerere kama muasisi wa mfumo Kristo. Katika tafakari yangu ta leo nimejikuta nikishangaa na kusikitika kwa wakati mmoja. Muasisi wa mfumo Kristo alitengeneza mfumo...
  5. Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vinavyotumia mfumo wa ANDROID kama | Smart Android TV | All Android Phones | Samsung, Xiaomi, Google Pixel, Huawei

    Sony, Lg, Smart watch za Android… Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  6. SoC04 Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu itumie mfumo wa kidigitali kupokea na kufuatilia matukio ya kijamii

    JINA LA MFUMO: JAMII SALAMA (JASA) UTANGULIZI. Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na makundi maalumu inakabiliwa na ukosefu wa mfumo bora wa kupata na kufuatilia taarifa za kijamii zinazohusu matukio mbalimbali ambayo yapo kinyume na sheria kitu kinachopelekea watu wengi kufanyiwa...
  7. PPAA yajipanga kuwanoa Wazabuni, Taasisi Nunuzi juu ya mfumo mpya wa kuwasilisha Rufaa Kieletroniki

    Ili kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kutoa mafunzo ya mfumo mpya wa kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na Rufaa kwa njia ya kieletroniki (Complaint and Appeal Management) kwa...
  8. SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Mfumo wa Haki Usio na Uonevu

    Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Tanzania yenye Haki na Usawa Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa katika mfumo wetu wa haki. Watu wasio na hatia mara nyingi hufungwa jela, wakati wahalifu wanakimbia...
  9. S

    SoC04 Mfumo wa wazi wa Kidijitali kufatilia utekelezaji wa miradi ya Serikali

    Mfumo wa kidijitali wa ufuatiliaji wa Miradi ya Serikali Ili kuongeza uwazi. (Government Projects Tracking System). Maendeleo ya Sayansi na teknolojia yamerahisisha utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi wake, huduma mbalimbi kama Elimu, Afya, Nishati ya umeme, Mawasili na usafirishaji n.k...
  10. G

    Kuna shida gani kwenye. Mfumo wa hakiki stamp wa TRA

    Kwa siku tatu sasa ukitaka kuhakiki ubora Pombe kali konyagi.k vant nk mfumo unatoa mesage.MANTANANCE MODE AU SERVER UNAVAILABILITY TRY AGAON LATER . Vile vili kuna hisia watu kuanza kupata shida kunywa vinywaji vikali. Je kuna shida gani? Wahusika tunaomba mrejesho haraka.
  11. H

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    UTANGULIZI: Mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa udhibiti wa mifumo ya TEHAMA (General Intergrated Control of IT systems) ni mfumo wa pamoja utakaosimamia na kudhibiti matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika taasisi au mashirika ya umma kwenye utendaji wa shughuli zao. Mifumo hii itakayodhibitiwa naweza...
  12. T

    SoC04 Mfumo utakaoboresha ukusanywaji wa kodi na nchini (Tanzania)

    Utangulizi Takwimu za mapato yakuswanyayo na shirika husika (TRA) katika maeneo/shughuli mbalimbali, zimeonekana kupaa juu siku hadi siku na hii imechochewa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali katika kutoa elimu kwa wauzaji na wanunuzi wa bidhaa/huduma mbalimbali,,,, Sambamba na...
  13. SoC04 Kuimarisha Udhibiti wa Dawa za Asili: Kuunda Mfumo Thabiti wa Kuhifadhi na Kudhibiti Dawa Zilizothibitishwa kwa Matumizi ya Binadamu

    Utangulizi: Matumizi ya dawa za asili yamekuwa ni sehemu muhimu ya utamaduni na afya katika jamii nyingi nchini Tanzania. Hata hivyo, ongezeko la matumizi ya dawa hizi limeibua hoja ya kuwepo kwa mfumo thabiti wa udhibiti na uhifadhi wa dawa zilizothibitishwa ili kuhakikisha usalama na ufanisi...
  14. SOFTWARE Nauza mfumo utakaokusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo na manunuzi hata kama upo mbali na biashara yako

    FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya mambo mengine binafsi na ya kimaendelea au ya kifamilia Ni mambo gani unaweza kuyafanya ukiwa na mfumo...
  15. S

    Uhamisho kwenye mfumo wa EES kwa watumishi wa umma

    Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
  16. Gridi ya Taifa yapata hitilafu na kusababisha baadhi ya maeneo kukosa umeme, TANESCO watoa taarifa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo. TANESCO wanasema Juhudi za...
  17. Unafahamu chakula unachokula kinaweza kukaa katika Mfumo wa Mwili wako kwa saa 12 hadi miaka 2?

    In general, food takes 24 to 72 hours to move through your digestive tract. The exact time depends on the amount and types of foods you’ve eaten. The rate is also based on factors like your gender, metabolism, and whether you have any digestive issues that could slow down or speed up the...
  18. SoC04 Tanzania tuitakayo itatimia na mfumo bora wa elimu

    ELIMU: MSINGI, KING'AMUZI NA KICHOCHEZI CHA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZOTE AMBAZO TUNAHITAJI ZIJENGEKE. Chanzo: Google Help Nchini Tanzania, suala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, Wala kuelekeza nguvu kubwa katika kunadi sera za elimu pekee, bali tunahitaji kufanya mchanganuo na...
  19. SoC04 Tanzania ya baadae: Kuelekea Mfumo Bora wa Elimu ya Ufundi Tanzania

    kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya taifa hili. Moja ya njia ambazo Tanzania inaweza kutumia ni...
  20. S

    Mfumo wa Kidigitali - Jinsi ya Kuanza

    Wanajamvi, Natumaini tunaendelea vyema. Kama mnavyojua, dunia ina kasi ya kidigitali. Na huenda hutaki kuachwa nyuma. Juzi kuna lecturer mmoja aliniomba kumsaidia wazo na kudadavua jambo: Ana biashara ya guest house kule dar. Eneo fulani hiv ndani ndani. Sio nyumba moja, zipo kadhaa ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…