mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
  2. L

    Wale wale wahuni waliopo nje ya mfumo wa Simba wanampandisha mabega Kibu ili wale 10%

    Lile kundi la wahuni ambalo liko nje ya mfumo ndani ya klabu ya mnyama ambalo limesababisha uongozi ushindwe kufikia malengo kwa kuharibu mipango na mikakati yote ya uongozi wa Simba limeanza usanii, utapeli, hadaa na wizi waziwazi. Wao ndio walimleta Kibu ndani ya Simba na kwa vile Kibu...
  3. D

    SoC04 Mfumo wa kielektroniki wa kuhifadhi na kuhuisha taarifa za shinikizo la damu za Watanzania ili kupunguza vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza

    UTANGULIZI Magonjwa yasiyoambukizwa ni magonjwa ambayo hayatokani na kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwengine. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani, magonjwa yasiyoambikizwa yanaongoza kwa kusababisha vifo duniani kote ikiwemo Tanzania. Vifo 32 kati ya 100 duniani kote...
  4. Tungepambana na magari ya umeme badala ya kuhangaika na kuweka mfumo wa gesi kwenye magari

    Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme. Badala ya...
  5. Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

    Habari Wadau, Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia? Je kutokujaza vacancy request inaweza ikapelekea maombi yako kukataliwa au kuandikiwa "vacancy not badgeted"?
  6. G

    Hongera PPRA kwa mfumo wa NEST

    Huu mfumo ni kiboko na mzuri sana ni shirikishi, wa kisasa, usalama nk. Tangu nimeanza kuutumia napata vifaa na huduma kwa nusu ya bei ya awali. Huu mfumo ukitumia vizuri naamini kabisa matumizi ya serikali yatapungua kwa 50%. PIA SOMA - PPRA pamoja kuweka mfumo sahihi, kagueni michakato ya...
  7. R

    Je, mfumo wa kupata viongozi ni sahihi?

    Tanzania Tunayoitaka na Viongozi Wabeba Maono Ni sawa? Jua linapochomoza huwa na hali ya utulivu na pambazuko lenye kuvutia ila kila linapozidi kutoka huwa na hali tofauti na mazingira hali ambayo kuna wakati wanadamu hushindwa kuivumilia na kutoa maongezi tofauti na yale ya mwanzo waliyokuwa...
  8. Musukuma: Tuanze na V8 za Mawaziri kuweka mfumo wa gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi. Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini...
  9. Mfumo wa ajira za Serikali umejaa Ruswa

    Siku hizi ni kawaida kama zitatangazwa ajira zozote za serikali vijana kuhangaika kutafuta watu wa kuwabeba maana kwenye vigezo watumishi wa serikali hawazingatii Vijana wengi wamekata tamaa ku apply ajira zinazktangazwa na kuziona kama kiini macho tu kwa umma maaana kiukweli serikali wana watu...
  10. Mfumo wetu wa mahakama unapaswa kujitathmini

    Machi 2023 Rais Samia Suluhu Hassan aligusia ‘mikopo chechefu’ wakati akipokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2021/2022. Wengi hawakufahamu ni kitu gani. Pia, nafikiri hata Rais mwenyewe wakati anazungumza hayo hakupewa taarifa vizuri na wasaidizi wake kwamba...
  11. I

    Mfumo wa ulinzi wa anga wa Iran ulipigwa katika shumbulizi la Israel

    Uchambuzi wa picha za satelaiti zilizopatikana na Iran International unathibitisha ripoti za vyombo vya habari kwamba sehemu ya kati ya mfumo wa ulinzi wa anga katika kituo cha anga cha Irani huko Isfahan ilipigwa na shambulio la Israeli siku ya Ijumaa. Shambulio la usiku mmoja limekuwa suala...
  12. Kuna haja gani kwa Watumishi kuomba uhamisho kutumia mfumo ikiwa...

    Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu. Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
  13. M

    KERO Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi. Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal. Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
  14. Mfumo wa nchi umekaa kunyenyekeana

    Trust me kama huna title lazma unyenyekee, bila hivyo watakupiga chini au kukufanyia vizabina mpk wakushushe... Mm naexperience na hili swala, utathaminika sio kwamba unaujuzi au weledi. Utathaminika endapo utakidhi mahitaji na matakwa ya muajiri wako. Watu hawapendi changamoto, hawapendi...
  15. Tengeneza umakini kwenye uchimbaji wa madini kwa mfumo wa the exploration or prospect wastage curve

    Changamoto nyingi kwa wachimbaji wa madini wamekuwa wakitumia njia sio sahihi na kufanya sekta hii kuonekana kuwa ya kubahatisha kwa wachache. Je, nini kinatumika kabla? MINING GEOLOGY IT imekuletea kitu chakufanya kabla kuingia kwenye uchimbaji: Mfano wa "exploration or prospect wastage...
  16. Ipigwe kura kupitia mfumo wa PEPMIS, watumishi wenyewe waseme kama wameuridhia mfumo wa kikokotoo

    Watumishi hawana haja ya elimu kuelimishwa kuhusu kikokotoo. Kila mmoja sasa anajua faida au hasara ya hichi kikokotoo kipya kwa kulinganisha wastaafu wa miaka 4 iliyopita. Serikali kila siku wanakipamba hichi kikokotoo, watumishi hawana pa kusemea. Ipigwe kura sasa ya kukubali au kukataa...
  17. Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Jordan imefunga matumizi ya anga lake kwa ndege za kiraia baada ya mfumo wa GPS kutokuwa sahihi. Nchi zingine ni Kuwait, Iraq, Syria, Bahrain
  18. Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
  19. Changamoto kwenye maombi ya ajira Mfumo wa TAMISEMI upande wa Afya na Elimu

    Mfumo umefunguka vizuri. Ninaingiza taarifa vizuri. Kwa nini sehemu ya kuingiza namba ya NIDA nikibofya inazunguuka muda mrefu haiendeleei? Msaada wanaujua hili suala.
  20. Wakusanyaji na Wachakataji wa Taarifa Binafsi Tanzania watakiwa kuanza kujisajili kwenye Mfumo wa Tume

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imetangaza kuanza Usajili wa Wakusanyaji na Wachakataji wote wa Taarifa Binafsi nchini ambapo imetoa muda wa miezi 6 kuanzia leo Aprili 10, 2024 kwa wahusika kukamilisha zoezi hilo Watoa Huduma hizo wanapaswa kutekeleza wajibu huo kwa kufuata Kifungu Namba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…