Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!
Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000. Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/.
Kwa ujumla vitu vingi bei vimepanda na sijaona tamko lolote...
Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa...
Mida hii natoka job of course ni weekend so nikajipitisha mitaa ya tegeta nakuta Bei ya nyama ya ng'ombe imepanda kutoka 7000-8500 nikakakausha nikajua mbezi Bei itakuwa pungufu.
Nafika mbezi jirani kabisa na home ambapo huwa nanunua nikakuta Bei imepanda na wao wanauza8500 nilivyouliza...
Hali ya bei za bidhaa inadhidi kuwa tete.
Bei ya petrol, dizel imeongezeka kwa kiasi kikubwa. Zaidi ya sh 40 kwa lita.
Bei ya mafuta ya kula lita 5 kwa 50,000.
Yaa 10,000 kwa lita.
Kama inawezekana hata jeshi la polisi litumike kama ambavyo imewezekana sehemu tofauti.
Nakumbuka msako wa...
JF nawasalimia kupitia jina la jamhuri,
Nachukua nafasi hii kuleta nasaha zangu kwenu ikiwezekana serikali izipate.
Kuna jambo ambalo nimewaza ni kwanini vitu huwa vinapanda bei bila mpangilio nikagundua kuwa kuna shida kwenye wasimamizi wa bishara.
Kwenye wizara ya viwanda inatakiwa ipitie...
Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha mwezi June, 2021.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii, Ruth Minja, Jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mfumuko huo kwa...
Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu, tafadhali angalia matokeo haya kutoka kwenye STATA nimetumia data ya mwezi kuanzia 2010 hadi 2020...
Salama wakuu.
Kwa wale tuliobahatika kusoma uchumi kwa kiasi chake,hebu tuzungumze kuhusu hili suala la mfumuko wa bei "inflation" .Nimekuwa nikiona mara kadhaa serikali ikitoa takwimu na namna ambavyo inapambana kudhibiti mfumuko wa bei nchini,lakini hii imekuwa ikinipa maswali flani flani...
Kuna mabadiliko makubwa sana ya kitakwimu nimeyagundua kwenye report ya mfumuko wa bei ya mwezi January, ambayo inasema kwamba mfumuko wa bei kwa miezi 12 iliyopita mpaka mwisho wa mwezi January 2021 ni asilimia 3.5 tu!.
Niliangalia hii report ilivotoka wiki iliyopita, lakini sikuelewa...
Pamoja na kwamba ukuaji na ueneaji wa Magodown ni ishara ya ukuaji wa shughuli za kiuchumi na uongezekaji wa vipato na ukusanyaji kodi kwa Serikali lakini usiporatibiwa vizuri unaweza kuleta ugumu na ukali wa maisha kwa wananchi na pia unaweza ukapunguza kwa asilimia kubwa ukusanyaji wa kodi...
Yamesemwa na ritha minja ambaye ni Mkurugenzi wa Sensa za Twakimu na Jamii. Hiyo ni kwa mwezi October
Source: TBC online
My take
Tumpongeze rais kwa juhudi maana vitu vipi chini kwa kuanzia cement hadi sukari
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka unapima kiwango cha kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma zote zinazotumiwa na kaya binafsi. Jedwali Namba 1 hapo juu linaonesha kuwa, Mfumuko wa Bei wa Taifa kwamwaka ulioishia mwezi Juni 2020 umebaki kuwa asilimia3.2 kama ilivyokuwa kwa...
Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni 2020 umeendelea kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa mwezi Mei, 2020.
Akizungumza leo Julai 8, 2020 Jijini Dodoma, Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bi. Ruth Minja amesema kuwa hali hiyo...
Imeripotiwa kuwa Mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi Novemba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 ya mwezi Oktoba, 2019.
Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ruth Minja ameyasema hayo leo Jumanne Desemba 10, 2019 mjini Dodoma...
Kiwango cha Bei ya Watumiaji (CPI) kimeongezeka kwa asilimia 1.1 mnamo Novemba nchini Ujerumani.
Kulingana na data ya Takwimu ya Shirikisho la Ujerumani (Destatis), mfumko wa bei nchini umeongezeka kwa asilimia 1.1 mnamo Novemba ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana mwezi Oktoba...
Mfumuko wa bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka unaoishia mwezi Oktoba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.6 kutoka asilimia 3.4 mwaka ulioishia mwezi Septemba 2019 ikiwa ni ongezeko la asilimia 0.2.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kutangaza takwimu za bei, Kaimu Mkurugenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.