Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya mbogamboga na vyakula vingine ambavyo mtu anaweza kuzalisha nyumbani.
1. Kisamvu. Hapa nazungumzia...
Leo nimemsikia mubashara mheshimiwa Makamu wa Rais ndugu Philp Mpango alipokuwa anahutubia viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye kilele cha kumbukizi ya kuzaliwa chama chetu CCM.
Nilidhani kwenye hotuba yake ataainisha mikakati ya serikali kudhibiti mfumuko na kuboresha ugumu wa maisha unaowakabili...
Kati ya nchi za Afrika Mashariki, Tanzania ndio yenye kiwango kidogo zaidi cha mfumuko wa Bei
Swala la mfumuko wa Bei ni suala la kidunia, wale waliojifungia wasiojua kinachoendelea duniani wafahamu hilo
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mfumuko wa bei unaoendelea Nchini kwa bei ya vitu vingi kupanda ni wa Rais na kama akitaka upungue lazima apunguze kodi.
Amesema “Ukipunguza kodi bidhaa zitapungua bei, ila sijasema ifutwe bali ipunguzwe, kwani ni lazima Serikali inununue VX...
Watanzania wenzangu ifike mahali tuwe tunafuatilia mambo Kwa kina na tusiwe benderea fuata upepo.
Leo hii kuna mfumuko wa bei ya vyakula tunaambiwa mkulima anafaidi.
Nasema hivi huu ni uongo Kwa asilimia 100. Mchana kweupe.
Mara zote wakulima huuza mazao Yao kipindi cha mavuno kipindi bei iko...
Wana jicho latatu someni mnielewe....
Iko hivi kila Mali inayo toka nje ya Taifa unahitaji ukwasi wa pesa ya kigeni mmenipata hapo wanazengo?
Sasa hawa Mawaziri au waziri wana push agenda ya free trade while sisi kama Taifa hatuna Mali yaku export zaidi ya chakula na madini sijuwi kama...
Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?
====
Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka kutoka tani laki 200,000 mpaka laki 500,000 hivyo wakati wa msimu wa kuvuna watanunua mahindi na mpunga...
Dunia ya sasa ni kutegemeana kuanzia bei ya mafuta, mbolea, vitu kutoka china, magari, teknologia na vipuli. Hivyo tusishangae bei ya vitu Tanzania kuwa juu.
Bank kuu pamoja na wizara ya fedha wajitahidi lakini tusiweke lawama zote kwa serikali kwenye hili kwa sasa. Hata tungekuwa na malaika...
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kwamba mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi unatarajiwa kupungua kwa asilimia moja katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu.
Pia imesema mfumuko wa bei kwa ujumla unahimilika kwa kuwa bado uko kwenye tarakimu moja.
Mtakwimu...
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi na Mfumuko wa Bei wa Taifa amesema hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri na ni himilivu ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki na zilizopo chini ya Jangwa la Sahara.
Shaka anazungumza kwa uwazi kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa ameifungua nchi.
Anazunguka duniani kuipaisha Tanzania.
Ziara za Rais zimetuzawadia deni la Taifa kufikia Trillion 71+ mpaka sasa.
Shaka anataja mafanikio mengi yatokanayo na utekelezwaji wa ilani ya CCM.
Sasa hivi bidhaa muhimu...
Ili kutatua changamoto ya mfumuko wa bei nchini Marekani, Benki Kuu ya nchi hiyo inayofahamika kama “Federal Reserve” imeongeza viwango vya riba mara sita tangu mwanzoni mwa mwaka huu, ambapo madhara yake kwa nje yameathiri vibaya uchumi wa nchi zinazoendelea hasa za Afrika, na gharama za maisha...
Double-digit inflation hits another EU member
Economists label surging prices in Denmark a “true nightmare for Danish wallets”
Double-digit inflation hits another EU member
Annual inflation in Denmark reached 11.1% in September, the Danish news agency Ritzaus Bureau reported on Monday, citing...
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400.
Mwigulu anaamini kwa jitihada za Rais Samia kuweka bilioni 100 kila mwezi itazidi kupunguza bei ya...
Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja.
1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza upatikanaji wa bidhaa unaoendana na mahitaji.
2. Kutoa ruzuku kwa ajili ya kupunguza bei ya nishati ya...
Ukweli ni kwamba, japo bei ya mafuta mwezi huu imetangwaza kushuka, bado wananchi hawataona tofauti ya maana katika bidhaa na wala hakuna uhakika kuwa huko mbeleni mafuta yataendelea kushuka kwani yanaweza kupanda pia.
Hivyo, kwakuwa bei ya bidhaa na huduma kwa kiasi kikubwa inachangiwa na bei...
DENI LA TAIFA NA UNYONGOFU WA MFUMUKO WA BEI
Mikopo inatoa uwezo wa kununua baada ya ahadi ya kurejesha, ambapo deni linazaliwa. Uzuri wa deni au ubaya unaamuliwa kwa uzalishaji uliosimamiwa na mkopo huo pamoja na jinsi deni linavyo lipwa.
Mfano: Kukopa fedha kwa ajili ya elimu ambayo...
Kwa mujibu wa “Wikipedia ya Wamachinga”, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi; lugha yao ni Kimachinga.
Kwa mujibu wa “Wikipedia” hii, kwa kipindi cha karne ya 20 na 21, Wamachinga wamekuwa maarufu katika miji mbalimbali kwa kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.