Tathmini zinaonyesha kwamba kuna uhimilivu mkubwa wa bei kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini, huku hatua kadhaa zikichukuliwa na serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kupunguza athari zitokanazo na kupanda kwake kwa wananchi.
Serikali ya awamu ya sita imefanya jitihada...
Sierra Leone protest: Wetin dey happen for Sierra Leone?
WIA DIS FOTO COME FROM,REUTERS
At least two police officers and one civilian don die after one day of anti-government protests for Sierra Leone's capital, Freetown, staff at the city's main mortuary tell Reuters on Wednesday.
Sierra...
Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa .
Hivyo ni Bora tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili kila mtu aweze kuishauri serikali kwa nafasi yake kama...
Hakuna kipindi kigumu kama hiki, watu wanateseka ila wanaumia kimyakimya
Bahati mbaya sana hata JF ya sasa lumumba wamejaa sana wanakazi moja tu kusifia na kucrash kashifa zote kwa chief.
matokeo yake mijadala mizito na ya msingi haijadiliwi wapinzani ndo hao wameshalamba sukari.
Ya ndugai...
Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba.
Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi.
Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia...
Hii nchi uzuzu umefika pabaya sana, serikali imeacha mambo ya msingi yaharibike. Inahangaika na punguzo la bei za petrol inajisahau bei za bidhaa na huduma zingine ambazo baadhi mfumuko wake wa bei ni wa umakusudi kbsa kutumia fursa ya utopolo wa watendaji na viongozi.
Badala ya serikali kuunda...
Kiwango cha mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe kimeongezeka hadi asilimia 131.7 hadi kufikia Mei, 2022, ikielezwa kuwa athari za vita vya Ukraine zimechangia kuathiri zaidi uchumi ambao tayari ulikuwa umeathirika.
Mfumo ulifika asilimia 100 tangu Juni 2021 mbapo mafuta ya kupikia na mikate bei...
Nchi yetu ya Tanzani, mifumo ya kudhibiti mfumuko wa Bei Bado hauko vizuri, ukilinganisha na nchi zingine. Kutangazwa Kwa wastan wa kupanda Kwa mishahara kutaendana na mfumuko wa Bei za vitu kuanzia mwez Julai, kutokana na iman Kuwa wafanyakaz Kwa Sasa wana hela. Nakumbuka kipindi Cha Mzee wa...
USA Mfumuko wa bei ulikuwa 2.2% kabla ya Corana sasa ni 8.3% hili sio tatizo la Tanzania pekee. Bei ya Chakula imepanda kwa takribani 40% kuanzia nyama, maziwa, mafuta hata hapa kwa wachimbaji Texas in $4.25 kwa Lita 3.7 au gallon moja.
Hivyo ni lazima tujue hili sio tatizo la Tanzania pekee...
Kutokana na wimbi la upandaji wa mafuta ya vyombo vya moto nchini pamoja na uchache wa chakula kulikosababishwa na mvua chache za masika, nashauri mama SSH afunge mipaka mpaka pale Nchi itakapokuwa stable.
Kwa sasa Bei za vyakula hazishikiki kila Kona Bei juu. Jana nilikuwa Mpanda Kuna warundi...
Eti wataalamu unawezaje kufanya hivyo? Maana kama una ukiba halafu ikatokea inflation labda ya 10%, basi asilimia kumi ya ukwasi wako inapotea. Mtu anawezaje kujilinda?
MEI MOSI NA MFUMUKO WA BEI; NINGEPUNGUZA PAYE KAMA RAIS MAGUFULI.
Leo 21:30pm 02/05/2022
Hayati Rais John Pombe Magufuli,alipunguza kodi katika mishahara kwa Wafanyakazi kutoka asilimia 11 hadi asilimia 9,huku wafanyikazi kote duniani wakiadhimisha sikukuu ya wafanyakazi,nchini Tanzania...
Wakati Rais wetu akiita 'Jambo Letu'...
“Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno."
"Tumejitahidi sana na kwa sababu...
Taasisi ya Fedha ya Kimataifa inasema mbinu bora zaidi zinahitajika ili kukabiliana na dhiki kuu ya deni.
IMF imeonya kuwa bei ya juu ya chakula na nishati duniani kutokana na vita vya Ukraine inaathiri zaidi nchi masikini
Bei ya juu sana ya chakula na nishati duniani kutokana na vita nchini...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mwenye PhD zake za uchumi amekubali kuondoa tozo kwenye sukari kwa 10%. Ni jambo jema lakini naomba nimkumbushe yafuatayo.
Sukari ina impat kwa bidhaa nyingine lakini impact kubwa na inayosafiri kwa haraka ni impact inayotokana na bei za mafuta...
Mbunge wa Ubungo akichangia katika bunge la Bajeti leo amesema ongezeko la bei linaloendelea mtaani sio la kawaida. Amesema ongezeko lililopo sio makosa ya serikali hata hivyo ni muhimu kwa serikali kuchukua hatua za dharura kudhibiti ongezeko hilo
Ameshauri wizara ya fedha kuja na hatua rasmi...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo leo Ijumaa Aprili 8, 2022 ametoa hoja akitaka bunge liahirishe shughuli zake ili wabunge wajadili kwa kina kuhusu upandaji wa bei za bidhaa nchini ikiwemo vyakula na vifaa vya ujenzi.
Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini.
Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote
Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno.
Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi.
Sio kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.