mfumuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hatua zilizochukuliwa na Serikali kudhibiti mfumuko wa bei nchini

    Tathmini zinaonyesha kwamba kuna uhimilivu mkubwa wa bei kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini, huku hatua kadhaa zikichukuliwa na serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kupunguza athari zitokanazo na kupanda kwake kwa wananchi. Serikali ya awamu ya sita imefanya jitihada...
  2. Taratiiiiibu Serikali zote za Afrika zitaondolewa madarakani na mfumuko wa bei

    Sierra Leone protest: Wetin dey happen for Sierra Leone? WIA DIS FOTO COME FROM,REUTERS At least two police officers and one civilian don die after one day of anti-government protests for Sierra Leone's capital, Freetown, staff at the city's main mortuary tell Reuters on Wednesday. Sierra...
  3. R

    Tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili tuweze kuishauri Serikali

    Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa . Hivyo ni Bora tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili kila mtu aweze kuishauri serikali kwa nafasi yake kama...
  4. F

    Mfumuko wa bei ya mafuta utatuua

    Hakuna kipindi kigumu kama hiki, watu wanateseka ila wanaumia kimyakimya Bahati mbaya sana hata JF ya sasa lumumba wamejaa sana wanakazi moja tu kusifia na kucrash kashifa zote kwa chief. matokeo yake mijadala mizito na ya msingi haijadiliwi wapinzani ndo hao wameshalamba sukari. Ya ndugai...
  5. Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  6. Dola ya Marekani kutumika rasmi nchini Zimbabwe baada ya mfumuko wa bei kuwa mkubwa

    Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi. Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia...
  7. Hivi Rais Hajui mfumuko wa bei bidhaa mbalimbali hadi Rim paper (47000-120000)?

    Hii nchi uzuzu umefika pabaya sana, serikali imeacha mambo ya msingi yaharibike. Inahangaika na punguzo la bei za petrol inajisahau bei za bidhaa na huduma zingine ambazo baadhi mfumuko wake wa bei ni wa umakusudi kbsa kutumia fursa ya utopolo wa watendaji na viongozi. Badala ya serikali kuunda...
  8. Mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe wafikia kiwango cha zaidi ya 130%

    Kiwango cha mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe kimeongezeka hadi asilimia 131.7 hadi kufikia Mei, 2022, ikielezwa kuwa athari za vita vya Ukraine zimechangia kuathiri zaidi uchumi ambao tayari ulikuwa umeathirika. Mfumo ulifika asilimia 100 tangu Juni 2021 mbapo mafuta ya kupikia na mikate bei...
  9. D

    Kiukweli asilimia ya mshahara kupanda haikutakiwa kutangazwa ili kudhibiti mfumuko wa bei

    Nchi yetu ya Tanzani, mifumo ya kudhibiti mfumuko wa Bei Bado hauko vizuri, ukilinganisha na nchi zingine. Kutangazwa Kwa wastan wa kupanda Kwa mishahara kutaendana na mfumuko wa Bei za vitu kuanzia mwez Julai, kutokana na iman Kuwa wafanyakaz Kwa Sasa wana hela. Nakumbuka kipindi Cha Mzee wa...
  10. K

    Mfumuko wa bei ni tatizo la Mataifa yote sio Tanzania pekee

    USA Mfumuko wa bei ulikuwa 2.2% kabla ya Corana sasa ni 8.3% hili sio tatizo la Tanzania pekee. Bei ya Chakula imepanda kwa takribani 40% kuanzia nyama, maziwa, mafuta hata hapa kwa wachimbaji Texas in $4.25 kwa Lita 3.7 au gallon moja. Hivyo ni lazima tujue hili sio tatizo la Tanzania pekee...
  11. Kwa mfumuko huu wa bei, kwa sasa mipaka ifungwe

    Kutokana na wimbi la upandaji wa mafuta ya vyombo vya moto nchini pamoja na uchache wa chakula kulikosababishwa na mvua chache za masika, nashauri mama SSH afunge mipaka mpaka pale Nchi itakapokuwa stable. Kwa sasa Bei za vyakula hazishikiki kila Kona Bei juu. Jana nilikuwa Mpanda Kuna warundi...
  12. Unawezaje kulinda pesa zako dhidi ya mfumuko wa bei?

    Eti wataalamu unawezaje kufanya hivyo? Maana kama una ukiba halafu ikatokea inflation labda ya 10%, basi asilimia kumi ya ukwasi wako inapotea. Mtu anawezaje kujilinda?
  13. Mei Mosi na Mfumuko wa Bei; ningepunguza PAYE kama Hayati Dkt. Magufuli

    MEI MOSI NA MFUMUKO WA BEI; NINGEPUNGUZA PAYE KAMA RAIS MAGUFULI. Leo 21:30pm 02/05/2022 Hayati Rais John Pombe Magufuli,alipunguza kodi katika mishahara kwa Wafanyakazi kutoka asilimia 11 hadi asilimia 9,huku wafanyikazi kote duniani wakiadhimisha sikukuu ya wafanyakazi,nchini Tanzania...
  14. T

    Je, Tanzania pekee ndio inahofia mfumuko wa bei kushindwa kutangaza kwa uwazi nyongeza ya mshahara?

    Wakati Rais wetu akiita 'Jambo Letu'... “Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno." "Tumejitahidi sana na kwa sababu...
  15. Taasis ya Kimataifa ya Fedha (IMF): Mfumuko wa bei unaweka nchi maskini katika hatari ya kushindwa kulipa madeni

    Taasisi ya Fedha ya Kimataifa inasema mbinu bora zaidi zinahitajika ili kukabiliana na dhiki kuu ya deni. IMF imeonya kuwa bei ya juu ya chakula na nishati duniani kutokana na vita vya Ukraine inaathiri zaidi nchi masikini Bei ya juu sana ya chakula na nishati duniani kutokana na vita nchini...
  16. Kushusha tozo za sukari kuna matokeo gani kwenye mfumuko wa bei

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mwenye PhD zake za uchumi amekubali kuondoa tozo kwenye sukari kwa 10%. Ni jambo jema lakini naomba nimkumbushe yafuatayo. Sukari ina impat kwa bidhaa nyingine lakini impact kubwa na inayosafiri kwa haraka ni impact inayotokana na bei za mafuta...
  17. Prof. Kitila Mkumbo ataka bajeti ieleze namna inavyoshughulikia mfumuko wa bei

    Mbunge wa Ubungo akichangia katika bunge la Bajeti leo amesema ongezeko la bei linaloendelea mtaani sio la kawaida. Amesema ongezeko lililopo sio makosa ya serikali hata hivyo ni muhimu kwa serikali kuchukua hatua za dharura kudhibiti ongezeko hilo Ameshauri wizara ya fedha kuja na hatua rasmi...
  18. Q

    Mrisho Gambo ataka Bunge liahirishwe, kujadili mfumuko wa bei

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo leo Ijumaa Aprili 8, 2022 ametoa hoja akitaka bunge liahirishe shughuli zake ili wabunge wajadili kwa kina kuhusu upandaji wa bei za bidhaa nchini ikiwemo vyakula na vifaa vya ujenzi.
  19. N

    Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
  20. Rais tunaomba usikilize vilio vya watanzania, mfumuko wa bei ni mkubwa mno

    Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno. Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi. Sio kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…