mfumuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Nitalindaje thamani ya akiba ya fedha zangu kipindi hiki cha mfumuko wa hatari?

    Wakuu kwema? Kama mnavyojua kipindi Hiki ni kipindi Cha mfumuko wa hatari duniani more kutokana na changamoto mbalimbali za kidunia Sasa tulioweka akina zetu Benki thamani yake zinaporomoka huku tukiona Mimi binafsi akina yangu niliweka kwenye fedha za kigeni, dollar nikitumaini nitakuwa...
  2. Urusi hali mbaya sasa kununua vyakula supermarket unapangiwa kiasi baada ya mfumuko wa bei na kupelekea kudorora kwa sarafu ya rubble

    Wakuu Hali mbaya kwa Putin, Baada ya matsifa kadhaa kuiwekea vikwazo vya kibiashara Russia Mambo yamekuwa magumu. "We're getting more reports about rationing of some staple foods in Russia. There has been particular demand for sugar". In the far eastern Maritime Region, supermarkets have imposed...
  3. J

    Waziri Mwigulu: Mfumuko wa bei hausababishwi na Sera wala Uzembe. Fedha ya COVID 19 imeongeza mzunguko Vijijini na Deni la taifa ni himilivu

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba amesema mfumuko wa bei unaolalamikiwa hausababishwi na sera zetu wala uzembe. Kadhalika, fedha ya mkopo wa COVID 19 kutoka IMF imesaidia kuongeza mzunguko wa fedha mitaani na hasa katika maeneo yote ya vijijini ambako fedha hizi bado zinazunguka. Naye Katibu...
  4. Mfumuko wa bei Marekani waweka rekodi mpya toka mwaka 1982, Tanzania tunajiaandae?

    Wakati dunia ikianza kupata afueni kutokana na Covid, ghafla inaingia vita ya Russia VS Ukraine na mataifa makubwa ya magharibi yanaungana pamoja kuiwekea vikwazo Urusi. Tofauti na mataifa mengine yanayowekewa vikwazo, Urusi ni namba mbili kwa uzalishaji wa nishati duniani huku mteja wake mkubwa...
  5. Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

    Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
  6. Mfumuko wa bei za vifaa vya ujenzi wapangaji mtarajie mabadiliko pia

    Unakuta mtu uko city centre kulingana na ubora wa nyumba yako anatokea mpangaji anakwambia sijui mbona kwa OMARY anapangisha chumba 50000 na vina umeme na maji wewe tu ndo unapangisha 60000. kwa OMARY kwenyewe ndo hapo👆 alafu uje kwa ABDALAH 👇utake kupanga kwa bei hiyohiyo,,,,,. kwa mfumuko...
  7. J

    Huu mfumuko wa bei unasababishwa na nini?

    Kwa sasa karibia kila kitu kimepanda bei hadi soda na hakuna matarajio ya bei kushuka. Chanzo cha hali hii ni nini? Wanasiasa mbona wako kimya siyo CCM wala Chadema hakuna anayehoji, kulikoni? Maendeleo hayana vyama.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…