mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. Mshana Jr

    Tabora: Atapeliwa saa ya Milioni 1 na mganga wa kienyeji

    Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo inadaiwa kuwa mzee huyo aliwasili Sumbawanga...
  2. Lupweko

    Basi la Yanga kwenda Bunju ni masharti ya mganga wao - Mchungaji

  3. S

    Kiemba: Wakati nipo simba mganga wa derby alikua Nakisha

    “Miaka ya nyuma siku kama ya leo kwa upande wetu sisi Simba usingizi unakuwa wa tofauti na muda mwingine mnaweza msilale kwa sababu mganga wa mwisho alikuwa anaondoka saa 9 usiku”-Amri Kiemba
  4. Tauceti Rigel

    Usipokuwa Muangalifu, Mchungaji Wako Anaanza Kufanana na Mganga wa Kienyeji

    Katika dunia inayojaa changamoto zisizokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, ndoto zilizokwama—watu hutafuta suluhisho kwa njia mbalimbali. Wapo wanaotumia akili zao kutafuta njia halisi za kujinasua, na wapo wanaotafuta muujiza wa papo kwa papo. Kundi la pili mara nyingi huishia...
  5. Top Gun

    Ni sharti gani ambalo mganga alikupatia na ukashindwa au kukataa kuendelea nalo

    Karibu vijana wa jadi
  6. K

    Kuna jamaa yangu ameenda kwa mganga ili kuwekwa sawa kwa ajili ya kupata hizi kazi za TRA.

    Wakuu heri ya jumapili. Sijajua ni kuchanganyikiwa au vipi,kuna jamaa yangu kafunga safari kaenda huko kwao Magu kwa mganga ili tu awekwe sawa kwa ajili ya hizi kazi za tra zilizotangazwa majuzi. Jamaa mwanzo alinidokeza hilo jambo na akawa ananishawishi na mimi niunge tera but mimi sio muumini...
  7. Top Gun

    Hivi ni kwa nini mganga hajigangi?

    1: Kwa maana hana uganga wowote ni utapeli tu. 2: Kwa maana maagano yake hayamruhusu kujiganga 3: Anaogopa matokeo ya uganga huo kama akijisaidia binafsi
  8. K

    Siri: Njia rahisi ya kupata mganga wa kweli

    Nasema kwamba dar es salaam hakuna waganga Kuna wafanya biashara na matapeli Waganga wapo Huko vichakani vijijini ambao hawataki pesa mana wanaishi kwa kilimo na ufugaji Laki moja kijijini ni hela ambayo inaweza kukupa manufaa makubwa. Fanya hivi Panda gari kutoka dar mpaka sumbawanga mjini...
  9. Top Gun

    Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

    Karibuni wanajukwaa
  10. Roving Journalist

    Songwe: Mganga Mkuu wa Mkoa afafanua madai ya kusambaa kwa magonjwa ya tumbo na kipindupindu

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu ametolea ufafanuzi taarifa ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Songwe yana changamoto ya Wananchi kuumwa magonjwa ya matumbo na kuwa anahisi wengi wao wao wanasumbuliwa na Kipindupindu. Kusoma andiko la...
  11. Roving Journalist

    Katavi: Mganga Mkuu wa Wilaya asema wapo kwenye mchakato wa kuajiri Mhasibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mlele

    Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Dkt. Thadeus Makwanda ametoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyeeleza kuwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu hali ambayo inaweza kusababisha upotevu wa fedha na kuwa Watumishi wasio na...
  12. D

    Kuwa mtu mzima kunanifundisha kuwa kuna haja ya kuwa na mganga wako

    I will be short Humanity is hard work We do a lot of mistakes , bila kuwa na mganga wako wa kureverse some things . Stress na mistakes zitakuua . It’s no joke Mimi ni pure Christian . Ila watu wana ni push to the Limit . Unakuwa mwema watu wanataka vita . , Kazini vita , mtaani vita ...
  13. Mr Dudumizi

    Nestory Bingwa, mganga tapeli aliewatapeli wasouth na kukimbilia Canada kuishi

    Habari zenu wana JF wenzang, Leo nawaletea kisa cha ndugu yetu Nestory Bingwa, ambae ni mjomba wangu kabisa wa kuzaliwa na mama yangu mzazi. Huyu bingwa ni miongoni mwa watanzania wachache sana waliowahi kuingia nchi hii kitambo sana, kabla hata muasisi wa taifa hili hajaachiwa huru. Baada ya...
  14. Nazjaz

    How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

    Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia. Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye...
  15. Dogoli kinyamkela

    Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa, bali pesa zinatoka Benki Kuu (BOT)

    Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa bali pesa zinatoka benk kuu(BOT). Kinachofanyika ni kuvuta pesa za wafia dini wanaoamini asili ni shirk. Hivyo roho mbalimbali zinatumika katika zoezi hili. Ukikuta umepata mkopo wa milioni kumi au zaidi au chini ya hapo na...
  16. FK21

    Nimeota mganga ananiambia sina muda mrefu nitafakufa. Nini maana ya ndoto hii?

    Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
  17. B

    POLISI: Bwana harusi alijificha kwa mganga.

    #VIDEO: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupatikana kwa Vincent Massawe (Bwana harusi) ambaye taarifa zake zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amepotea siku chache baada ya kufunga ndoa. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
  18. Waufukweni

    Bwana harusi aliyedaiwa kutekwa apatikana Kigamboni, alijificha kwa Mganga wa Kienyeji

    Taarifa ya Jeshi la Polisi == Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao. Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na Mwananchi...
  19. OMOYOGWANE

    Ujumbe Kwa vijana mnaojipanga kusoma masters ili muwe ma boss : Ili upande cheo hauhitaji masters unahitaji mganga mzuri.

    Habari wakuu, Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa . Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na...
  20. PROFOUND NOTION

    Unakuta mtu anamcheka mtu kwenda kwa mganga wa kienyeji ila yeye amepanga mstari kununua udongo

    "Ooh ukienda huko utapewa jini litakalokusumbua baadae" Anayesema hivyo ameambiwa atoe sadaka ya kujimaliza, anunue mafuta na maji na mchanga huku nabii wake akimuambia "usiogope, usiogope chochote" wakati yeye amezungukwa na mabaunsa na nje impaki gari ya milioni 250 inasumbiria kuondoka...
Back
Top Bottom