mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. Tuagize

    Mganga wa Mapenzi

    Wakuu wazima hivi ni kweli kuna mganga wa mapenzi, au ni sound tu tunapigwa?
  2. kipara kipya

    Yanga kadaini fedha zenu kwa Mganga aliyewaaminisha Dube atafunga game ya jana

    Ali kamwe alisema wameaminishwa kuwa Dube alikuwa hafungi kwa kuwa alikuwa amefungwa kwa nguvu za giza na timu fulani ila mganga mpya waliyempata amewahakikishia leo(jana) rasmi ataanza kufunga na wanamkabidhi mechi na ukisikia kukabidhiwa mechi ni zile takataka zote za kichawi hukabidhiwa...
  3. Minjingu Jingu

    Mwenyekiti wetu Hersi jishushe nenda kamwombe msamaha Haji Manara aturudishie Mganga wake

    Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. Hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa ngumu sababu ni... Turudie katika asili yetu. turudi kule ambako kulitusaidia tukawa Yanga ile. Tatizo...
  4. G

    Matangazo ya Mganga Radio Free Afrika

    Wakuu habari. Niko nasikilizia hapa radio Free!. Kuna kipindi Cha mganga anajinadi kuwa kama una tatizo lolote yeye atakusaidia kulitatua kwa kupiga namba ya sim Aliyoitoa. Anasema kama unashida na Hela, cheo yeye anaweza kukusaidia. Najiuliza hapa nikienda kwa huyo mganga na nisifanikiwe...
  5. jingalao

    Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  6. Brojust

    Swali kutoka kwa mdau kuhusi hizi imani tatu, Uislamu, Ukristo na kwa Mganga

    Swali kutoka kwa mdau kuhusi hizi imani tatu, Uislamu, Ukristo na kwa Mganga Naomba kuwasilisha bila kuongeza kitu chochote. Nawasilisha.
  7. God Fearing Person

    Ushuhuda: Ukiona Mganga anataka PESA nyingi fahamu tu huyo sio mganga utaibiwa

    Uganga au uchawi ni karama ambayo MUNGU huwa anawapa watu na moja ya masharti ya karama hiyo usiitumie kujipatia PESA Ila acha MTU akipenda Kazi yako atakupa PESA. Hivyo Mimi Mganga wangu alienifanya nitoboe na kupata Kazi ssehemu nzuri na kukalia hiki Kiti aliniomba elfu 3 tu. Wakuu ukiona...
  8. Roving Journalist

    Mganga Mkuu wa Wilaya Meatu, Mahela Godfrey Njile aamua kutoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA

    Mganga Mkuu Halmashauri Ya Wilaya Meatu , Mahela Godfrey Njile akitoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA katika kata ya Mbugayabang'hya. Pia soma: ~ Kihongosi: Baadhi ya Mila na Tamaduni zinachangia Kipindupindu Simiyu ~ Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona...
  9. wa stendi

    Hivi haya mabango "jiunge freemason na mganga wa jadi kutoka mkoq wa "yanabandikwa saa ngapi.

    Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini. Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni...
  10. G

    Kwa hali ya sasa ni hatari zaidi kugombana na askari kuliko mganga, Hawa watu ni ngumu sana kuwajibishwa, Asiesikia ajiandae kisaikolojia

    Navyosema kugombana ni kuingia kwenye 18 zao hata kama wewe hujafanya kosa, jiepushe na mazingira hayo Kwa matukio yanayozidi kuendelea ambayo wengi tunayasikia imekuwa ni wazi hawa watu wana kinga kubwa sana, hata kukiwa na ushahidi uliosambaa nchi nima na watu kwa pamoja kudai haki bado ni...
  11. W

    Mganga wa jadi apatikana na fuvu za binadamu 24 nchini Uganda

    Mwanamume mmoja wa Uganda anayesadikiwa kupatikana na fuvu za binadamu 24 huenda alikuwa akizitumia kwa ajili ya kafara ya binadamu na anaweza kukabiliwa na kifungo cha maisha gerezani, polisi wameeleza kwa BBC. Msemaji wa polisi, Patrick Onyango, amesema mtuhumiwa huyo, Ddamulira Godfrey...
  12. chiembe

    Aliyepotea Singida abainika kuuawa kwa mganga wa kienyeji

    Haya mambo yanahitaji uchunguzi, na subira, huyu naye chadema walisema katekwa na polisi ===== Jeshi la polisi mkoani Singida linawashikilia watu watatu akiwemo mganga wa kienyeji ambaye hajaweza kufahamika jina lake baada ya kutuhumiwa kumuua kijana samwaja na kumnyofoa baadhi ya viungo na...
  13. mdukuzi

    Niliamua kumuacha baada ya kugundua kuwa baba yake ni mganga wa kienyeji

    Kuna pisi moja niliisotea kwa muda sana. Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period, tukapanga akipona tupelekeane moto. Kabla hajapona nikagundua baba yake ni mgangaél wa kienyeji,nilifuta namba siku hiyohiyo
  14. Jana Ulirudi Usiku

    Ameponea kwa mganga wa kienyeji

    Salama wakuu? Nina rafiki yangu amenipa tafakuri mno usiku huu.alikuwa anaumwa, amezunguka kwa mitume na manabii ila hakupona .... Ajabu ameponea Tanga, tena kwa mganga wa kienyeji. Hii imekaaje? Kwanini wengi waliopinga yeye kwenda upande wa pili wenyewe huenda kwa waganga pia? Kwa nn hasa...
  15. GENTAMYCINE

    Wa Kawe Tanzania analndwa kwakuwa anakula na aliye Bungeni, wa Fedha, Juha wa Arusha na ni Mganga pia wa Queen Sheeba wa Baharini

    Lamor Whitehead, mhubiri wa New York, Marekani, maarufu kutokana na maisha yake ya kifahari, amekutwa na hatia kwa makosa ya kutumia nafasi yake kama kiongozi wa dini kuwalaghai watu pesa ili kugharamia maisha yake ya kifahari. Maafisa wanasema alitumia pesa za waumini wake kununua vitu...
  16. Melki Wamatukio

    Shemeji yetu anataka kumuendea kwa mganga kaka yetu

    Aisee, kama ndoa ndo ngumu kiasi hiki, hiki kikombe kiniepuke kwa kweli. Ni mara mia nitafute mdada, nimpachike mimba kwa makubariano. Siwezi, nasema tena Siwezi, Mola anisaidie. Ni kugumu japo nimechungulia dirishani tu Ni kaka yetu japo si wa damu, na sisi ni kama wadogo zake japo kutokea...
  17. M

    Nimeenda kwa Mganga nikakuta ni classmate wangu,

    Si tumecheka na tukapika yule kuku ambaye nimekuja nae,🤣😂😂 maisha ni kujuana bana
  18. Invisible

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    UFAFANUZI WA KINA NA MBINU ZA KUACHA UVUTAJI WA SIGARA Mbinu Za Kuacha Uvutaji Wa Sigara Miongoni mwa mambo magumu kabisa katika ufanikishaji wake ni mtu kuachana na uvutaji wa sigara. Watu wengi wamekuwa wakionywa kuachana na uvutaji wa sigara kwa sababu ya madhara yake, lakini wamekuwa...
  19. G

    Niliwahi kwenda kwa mganga kujitibu bila mafanikio lakini tatizo nililozoea la kuamka asubuhi na mikwaruzo liliisha, Je mikwaruzo ni uchawi?

    Muhimu: Nilipelekwa huko ikiwa ni siri ya mimi na ndugu yangu ambae alishafariki, sehem tuliyofikia siikumbuki wala sina mawasiliano yoyote ya huko. Kuna kipindi mwaka 2014 niliamini nina mikosi na nuksi kwa kuonaa maisha yangu yana utata, ndugu yangu wa karibu niliekuwa nikimshirikisha kwenye...
  20. GENTAMYCINE

    Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Yaani sijui ni kwanini nikiiona tu Sura ya Mo Dewji na Simba SC yangu ilivyo kwa sasa ninatamani hata Kumpiga Ngumi!!!
Back
Top Bottom