mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. B

    DPP Biswalo Mganga umewatesa watu wengi kwa kiburi cha madaraka!

    Huyu kijana amebeba kilio Cha familia nyingi nchini, amewatesa watu kwakuwabambikia kesi huku akikusanya pesa za watu kwa mgongo wa uhujumu uchumi. Ofisi yake imeoza kwa kukosa hofu ya Mungu nakujitwalia roho ya kikatili, niombe ifike mahali watu wa aina hii wasipewe nafasi nyeti hivi. Haki...
  2. J

    Lushoto wapata dawa ya kinga ya Corona, mganga wa tiba mbadala ndugu Shaban ameseme wabunge wengi wameshakunywa!

    Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga. Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
  3. Miss Zomboko

    Kagera: Amuua Mama yake mzazi baada ya Mganga kumwambia apeleke damu ili kuongeza utajiri

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Fredius Philibart Kibengo mkazi wa Omurushaka wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua mama yeke mzazi kwa kumkata shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya mganga wa kienyeji kumtaka kupeleka damu ya mama yake au ndugu yake wa karibu ili...
  4. J

    Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
  5. kiben10

    Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa usiofahamika. Amesema hata kama ugonjwa huo ungekuwepo waziri ndiye anatakiwa kutoa taarifa. Zaidi, soma...
  6. sekulu

    Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Sangoma atinga uwanjani, dah ebu cheki hii video hapa chini. Sangoma
  7. E

    DPP Biswalo Mganga tembelea Gereza la Isanga, Dodoma na upitie mafaili ya mahabusu

    DPP Biswalo Mganga, hatuna shaka na utendaji wako hata kidogo, uchapa kazi, haki, weredi, na uwazi . Hivi vyote umejaariwa na mh. Rais hajakosea kukuchagua. Nikuombe utembelee magereza ya Tanzania, nimetolea mfano gereza la isanga dodoma kwa sababu huwa natembelea kusalimia wafungwa na...
  8. Mystery

    DPP Biswalo Mganga unalazimika kuwajibika kujiuzulu baada ya kumtoa "mahabusu" Nusrat Hanje gerezani akawe ghafla Mbunge

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Ndivyo ninavyolazimika kuianza "thread" yangu kutokana na sakata hili la kumwachia mahabusu Nusrat Hanje kinyume cha sheria na taratibu za nchi hii. Kama kweli nchi yetu inaendeshwa kwa utawala bora, DPP Biswalo Mganga analazimika kujiuzulu kutokana na...
  9. Erythrocyte

    Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanashikiliwa Mkoani Singida wameachiwa huru

    Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina haja ya kuendelea na kesi hiyo, hii ni masaa machache kabla ya kusomwa hukumu ya maombi yao ya haki...
  10. Nafaka

    Mganga alimwambia akinywa pombe atakufa

    Kuna waganga wengine ni wajanja sana, yani wanacheza na psychology ya mtu. Kuna jamaa nilisoma naye chuo alikuwa rafiki yangu sana. Miaka yote tunasoma chuo hakuwahi kunywa pombe hata tukienda kula gambe kwenye pub ya polisi ambapo tulikuwa tunanunua crate kabisa maana bei hapo zilikuwa bei...
  11. J

    Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Robert Boaz na DPP Biswalo Mganga, wamewasili kwenye Kisiwa cha Ukara, Ukerewe, kwa lengo la kufanya uchunguzi ili kuwabaini wanaotenda uhalifu uliopelekea mauaji ya watu wawili kisiwani hapo na kufanya wananchi kuishi kwa hofu. Hatua hiyo imekuja...
  12. Miss Zomboko

    Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji atoroka katika kituo cha kazi baada ya kutuhumiwa kuiba Sh milioni 25 za ujenzi

    MGANGA Mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji cha Kibena wilayani Iringa, Hope Mwale ametoroka katika kituo chake cha kazi baada ya kutuhumiwa kuiba Sh milioni 25 za ujenzi wa choo cha jengo la wagonjwa wa nje la Kituo cha Afya cha Kibena unaoendelea kijijini hapo. Taarifa ya kuibwa kwa fedha hizo na...
Back
Top Bottom