mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. LIKUD

    Hirizi ya Simba ya Freemasons vs Hirizi ya Simba ya mchawi au mganga wa kiafrika

    Kwamba ukiwa Na hirizi ya Simba uta demonstrate sifa, nguvu Na uwezo kama WA mnyama Simba kama vile kuogopeka nakadhalika. Muumini WA Dini ZA kiafrika ( ambae anaweza kuwa muislamu au mkristo) mchawi WA kiafrika, mganga wa kiafrika, mchawi WA kiarabu, mganga WA kiarabu akitaka hirizi ya Simba...
  2. C

    Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa @ChelseaFC, @MichaelEssien kushuka kiwango

    Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa Chelseafc, @MichaelEssien kushuka kiwango. Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji Arnold Mensah Elavanyo katika kipindi cha Vibes in 5, alisema kwamba alishusha kiwango cha Essien...
  3. T

    USTADH MGANGA ATABIRI RAIS KUPOKEA TUZO ZA KIMATAIFA

    Ustadh Mganga ambaye ni bingwa wa utabiri hapa Afrika Mashariki ametabiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hivi karibuni ataanza kupokea tuzo za kimataifa kutokana na kazi kubwa ambayo amekuwa akifanya hasa katika nyanja za amani,demokrasia na utawala...
  4. Chizi Maarifa

    Sasa uhakika simba anapigwa leo hawezi kukwepa

    Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka. Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo...
  5. M

    Kutoka Kambini Baharini: Kuna Mtu kakimbia baada ya Mganga kusema anatakiwa Yeye kwa Kafara ili Mfalme wa Nyika Afe Jumamosi

    Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi? Na Mightier nimetonywa kuwa Option ziko Mbili tu ama itafutwe Maiti ya hivi karibuni ikafukiwe Temeke...
  6. R

    Ushawahi kwenda kwa mganga kisa mwanamke?

    Kama inavyojieleza ushawahi kumpenda demu sio ligi yako. Ukaamua uende kwa babu.
  7. kavulata

    #COVID19 Kwanini mganga wa Hospitali Mwananyamala alimwingiza Rais chumba cha wenye Covid-19 bila kumfahamisha kabla?

    Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia au kutoingia wodi ile. Rais ameonekana hadharani kushitushwa kwa kujikuta katikati ya wagonjwa wa...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mganga wa jadi adai yeye ndiye aliyemuua Nabii T. B Joshua

    Mganga wa jadi kutoka nchini Ghana anayefahamika kwa jina la Nana Kwaku Bonsam amedai yeye ndiye anayehusika na kifo cha Nabii maarufu T. B Joshua baada ya mganga huyo kumtuhumu T. B. Joshua kuhusika na kifo cha Rais wa Ghana. Kwenye video ambayo ameirusha mganga huyo leo, anaonekana akisema...
  9. Replica

    Tabora: Mganga wa jadi afariki akinadi kinga yake dhidi ya sumu

    Mtu mmoja ambaye amebainika kuwa ni mganga wa jadi, Robert Masumbuko, amefariki dunia mkoani Tabora wakati akijaribu kuwaaminisha wateja wake kwamba ana uwezo wa kuwapatia kinga dhidi ya sumu yoyote ambayo mtu anaweza kuinywa pasipo kudhurika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo...
  10. S

    Tundu Lissu: Rais umekosea na umevunja sheria, Biswalo Mganga alistahili kufukuzwa kazi na si kupewa hadhi ya Jaji

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa Twitter: Mh. Rais umekosea & umevunja sheria: DPP Biswalo Mganga alitesa watu wasio & hatia kwa mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi & utakatishaji fedha. Wengi wanaozea magerezani kwa sababu yake. Alistahili kufukuzwa kazi chini ya Sheria hii; sio kupewa hadhi...
  11. B

    DPP Biswalo Mganga kutenguliwa nafasi ya ujaji kabla yakuapishwa?

    Mhe. Rais SSH naomba nikupongeze kwa ujasiri wa kufanya yale waliyotuaminisha hayawezi kufanywa na viongozi wa chama Cha Mapinduzi. Nikupongeze kwa kusikia kilio Cha wengi kuhusu tuhuma zinamkabili mtumishi wa Umma mmojammoja pamoja na tuhuma za Wana CcM. Ulimteua Biswalo Mganga kuwa Jaji kwa...
  12. R

    Bado DPP Biswalo Mganga baada ya Ole Sabaya

    Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens. Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
  13. S

    Kama DPP haondolewi ofisini mpaka afanye makosa au awe na tatizo la kiafya, Rais kamuondoa katika mazingira gani?

    Nimesoma mtandaoni kuhusu taratibu za kisheria zinazotakiwa kufuata ili kumuondoa DPP ofisini, ambapo sheria imetamka wazi kuwa DPP hapaswi kuondolewa ofisini isipokuwa tu kama ana tatizo la kiafya(illness) au amekwenda kinyume na maadili ya kazi. Hata katika hili la kwenda kinyume na...
  14. Erythrocyte

    Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

    Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu. Mytake : NI AIBU...
  15. Zanzibar-ASP

    DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

    Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
  16. ommytk

    Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
  17. Iheanacho

    Mimi leo naitwa Mganga wa Kienyeji

    Kuna dada nimevunja naye mahusiano ya kimapenzi ila naye kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka Sumbawanga anayetibu nguvu za kiume na kuangamiza wachawi. Nifanyeje?
  18. P

    Tukikubaliana na dhana za kuikejeli elimu kisa Profesa Muhongo kakejeliwa tutapotea kama Taifa

    Mheshimiwa Msukuma amepata umaarufu mkubwa siku za karibuni haswa kwa kumkejeli Profesa Muhongo mwenye kuamini kwamba umeme wa gesi ni suluhisho la suala zima la nishati hiyo. Ni mawazo ya Profesa Muhongo na anao uwezo wa kuyatetea kwa hoja kila anaposimama na kuongea bungeni. Naona kama...
  19. Terrible Teen

    OR - TAMISEMI muondoeeni Dr. Fatuma Ramadhan Mganga Mke wa Spika Ndugai kuwa DED - BAHI DC

    OR - TAMISEMI kwa heshima kubwa nawashauri mumuondoe mara moja Mke wa Spika Y. Ndugai kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya BAHI, MKOA WA DODOMA. Mama huyu, Dr. Fatuma Ramadhan Mganga anatumia uhusiano wake wa kifamilia na Job Ndugai kukwaza utendaji kazi wa Serikali. Mama huyu kwa sababu...
  20. Lord denning

    Ushauri wangu kwa Jaji Feleshi na Biswalo Mganga

    Amani iwe nanyi! Naomba niwashauri tu! Achaneni na wote waliokuwa wanapinga maovu ya Hayati Magufuli. Hawa ni pamoja na; 1. Fatma Karume 2. Jebra Kambole 3. Mdude Nyangali Na wengineo wote. Napenda ku waambie wakati haupo upande wenu. Rudisheni uwakili wa Fatma karume haraka iwezekanavyo maana...
Back
Top Bottom