mgeni

Mgeni Jadi Kadika (born 1957) is a Tanzanian member of parliament for the Civic United Front.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Nani kama mama, Alimuokoa Fei toto wakanuna, kwa mara nyingine anaenda kuwa mgeni rasmi Derby waliyosusia

    Nani kama mama, Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za...
  2. Haya chukueni hii ikiwa bado mbichi na mbaki nayo, kwani kwa aina ya Mgeni Rasmi aliyeandaliwa kwa Mchezo ujao hakuna wa Kuthubutu Kugoma / Kumgomea

    Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
  3. Sheria au kanuni inajieleza yenyewe miaka na miaka yakwamba timu mgeni itafanya mazoezi kwenye uwanja husika kwa muda ambao match husika itachezwa

    Hapo vip!! Ukitafakari na kuchambua kisheria hili dai la yanga yakwamba hawakupata taarifa..unaona wameamua kuingiza siasa kwenye mpira wetu. Hivi kati ya sheria au kanuni na taarifa ipi yenye nguvu...Simba amebase kwenye sheria na kanuni,yanga amebase kwenye utaratibu wa kisiasa. Na je kwenye...
  4. Lazima ifike wakati sheria iwe wazi na Dabi ifanyike mahali hakuna timu mgeni wala mwenyeji!

    Wadau wa Michezo, Ninayo yangu ya kushea! Ndugu wenye mamlaka ya Mpira hapa Tanzania ni TFF na Bodi ya ligi Tanzania,na kwa mamlaka ya Michezo Tanzania ndipo tunamkuta Baraza la Michezo Tanzania (BMT), na zaidi Wizara husika! Ni nini maana yake? Hawa watu Inatakiwa wafanye kazi kwa pamoja japo...
  5. Afghanistan ni nchi moja safi sana kibinadamu kama mgeni japo vyombo vya habari kutangaza vibaya

    Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa. Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
  6. Utamsikia mgeni anasema: "Yani mjomba, sisi wakati wa Nyerere tulikuwa tunatembea kwenda shule usawa wa Kariakoo hadi Kibaha. Nyie vijana namna gani."

  7. Rais Samia aagiza Waziri wa Biashara kudhibiti Wageni kufanya biashara za Machinga, ahoji vijana wetu watafanya kazi gani?

    Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
  8. Ndugu zangu mi ni mgeni wa hili jukwaa, ila naomba mnipokea na hii idea... wote mtafurahia...

    Kila mmoja achati kwa lugha anayoijua mradi usitukane... Unaweza kutumia google translator... Mimi naanza.. Nǐmen hǎo ma, wǒ de péngyǒumen. Wǒ de míngzì shì nǐ de zhàngfū
  9. Mimi mgeni mnikaribishe

    Habari zenu wana jf mi mgeni naomba MNIKARIBISHE rasmi kama mwanachama wa jf
  10. New member: Ukisoma JF hata thread moja tu utake usitake utajiunga tu!

    Habari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje. Kwa miezi ya hivi karibuni since July, 2024 nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania" kwenye opera mini na kiswaswadu changu haha, zikaja results za JF asee tokea siku hio imekuwa kama...
  11. Januari yamoto sana, kuna mgeni amekuja kwangu nilitaka nimuagizie soda amegoma amesema nimpe tu hiyo 600. Nimebaki na mshangao sasa

    Na nyie wenzangu mmeshawahi kukutana na jambo kama hili, yaani mgeni anazua mia sita kweli jamaani yaani ameona soda ni anasa kabisa kitu cha mia sita. Nimeshangaa sana. Halafu mwenye hana presha wala wasiwasi with confidence kabisa. Iseee huu mwaka 2025 umeanza kiajabu kabisa.
  12. Mgeni Adhim Atembelea Maktaba

    Leo jioni nimepokea mgeni adhim kupita kiasi niliyekutananae akiwa mtoto mdogo akisoma shule ya msingi. Mtoto huyubalikuja nyumbani kwangu kaletwa na baba yake. Ilikuwa asubuhi moja mwaka wa 2018. Mtoto huyu baba yake ambae hatukuwa tunafahamiana aliniambia kuwa mwanae alikuwa amesoma kitabu...
  13. M

    Mimi ni mgeni hapa, nikimaanisha nimejiunga na JF mwezi uliopita

    Naomba kufahamu ni nini nachotakiwa kufanya ili kuweza kupost posts nzuri hapa. Napenda kujiona kama mhamasishaji wa uongozi bora hasa kwenye ngazi za chini, nikimaanisha uongozi wa jumuia ndogo ndogo, uwakilishi wa nyumba kumi kumi nadhani hii ni kama mabalozi, uongozi wa mitaa, kata au...
  14. D

    Mgeni

    Me ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya
  15. Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

    Salaam wakuu. Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama. Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini. Nawasilisha...
  16. Nimepiga marufuku utamaduni wa mgeni kushukuru kwa chakula kila baada ya kula

    Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula. Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao wanaishi muda mrefu, kwamba kila anapomaliza kula anamuangalia “mama mwenye nyumba” na kumshukuru kwa...
  17. M

    Mimi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichokee kunishauri

    Habari zenu, Jamani mi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichokee kunishauri.
  18. Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

    Nyota ya Isack Mwigulu inazidi kung’aa, safari awa mgeni rasmi kwenye semina ya utendaji wa UVCCM kwa mkoa wa Singida.
  19. Mgeni mimi mnipokee

    Mambo vipi wanajukwaa? Mimi ni mgeni kabisa humu, nipokeeni kwa mikono miliwi. Pia ninaleta andiko la kuomba ushauri katika haya maisha.
  20. Maeneo gani mazuri kumtembeza mgeni jijini Dar?

    Ni kabinamu changu ila undugu wa mbali kidogo wa ma bibi na mabibi huko alafu ni kapeace kishenzi kametoka Katavi huko hakajawahi kufika Dar hata siku moja ila kamewahi kwenda Arusha sasa juzi tumekutanishwa home na kwa hizi siku tatu kangependa kakate kiu ya kulifurahia jiji hili la raha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…