Hello wana Jamii. Nimekuwa nikisoma majadiriano mengi ya wana Jamii forums kwa mda wa miaka mitano sasa. Ila karibuni ndiyo nimeamua kujiunga rasmi nami niwe mmoja wapo wa wachangiaji na kuweza kuelimishana kwa vitu kadha wa kadha.
Angalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima.
Suala zima lilianza January ya mwaka huu baada ya kuondokewa na binti yetu wa kazi ghafla mwaka jana December 2023. Wife ni mtumishi wa umma na watoto wetu wote...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa
Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini "TASWA Media Day Bonanza 2024" linalotarajia kufanyika Februari 10, 2024...
Ni mwaka jana tu katika mahafali ya darasa la saba sehemu fulani niliyoalikwa na mkuu wa shule huyo ambaye ni rafiki yangu mzuri. Tumetulia mara mgeni rasmi kafika na suti yake kuuubwa. Yamefanyika yaliyofanyika hadi muda wa kukaribishwa yeye ukafika. Akaongea vizuri kwa kutoa rai murua kabisa...
"Gwaride lile la Askari Wetu hasa wale Makomandoo lilifanya tukiwa katika Hafla Ikulu ya Zanzibar Marais Wageni wa Nchi Jirani wasifie na waseme hakika Tanzania imewazidi vingi" alisema Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi.
Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Saa 12 na Nusu za Asubuhi.
Hakuna...
Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar.
Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi.
Swali langu ni hili, hivi kazi...
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na glass zipo.
4. Inshort things are mess
Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote."
Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya kuwatumia bodaboda inafanya kazi kwa 👇
1. Watu wanao tafuta milupo au malaya wanao jiuza.
2. Ina...
Mwekezaji Ni Dewji na Viongozi wako / wenzako akina Salim Abdallah Mhene 'Try Again", Murtaza Mangungu na CEO Imani Kajula upesi sana kaeni Kitako na Wachezaji wa Simba SC myamalize kwani Upuuzi huu wa Kinatokea ukiendelea mtakuja Kupigwa / Kuchapika vibaya na Mashabiki na hiyo Timu itatekwa...
Klabu ya Simba ambayo ni mwenyeji katika mchezo wake wa wikend hii dhidi ya Yanga imemtangaza Kibu Dennis kama mgeni rasmi wa mchezo huo.
Hili ndio soka letu sasa kivyetuvyetu.
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Zambia kuanzia Oktoba 23 hadi Oktoba 25, mwaka huu ikiwa na lengo la kujenga ushirikiano kati ya nchi hizo mbili zenye historia kubwa kiushirikiano.
Katika ziara yake nchini humo, Rais Dkt. Samia...
Wengi wenu mnadhani na mmekaririshwa kuwa Israel iliyopata Hadhi ya kuwa nchi mwaka 1948 ni Mgeni huko Mashariki ya Kati wakati kumbe si Kweli.
Taarifa ikufikie kuwa Politically Palestine ndiyo mwenye hilo Eneo linalozozaniwa ila Historically na hata Kitabu Kitakatifu ( Biblia ) Kimethibitisha...
Habari ya jioni wakuu.
Ninahitaji mtu/consultant mzoefu ama mtaalam wa kazi ya kuomba vibali vya mgani toka nje ya Tanzania kuishi nchini kwa njia ya mtandao.
Tayari maombi ya work permit yamefanyika na yamekubaliwa lakini tumekwama kwenye residential permit pekee.
Kama unaweza kutukwamua...
Leo tuzungumze kidogo kuhusu chakula hasa kwa wageni wanao tutembelea iwe kwa shida ama kwa raha,
Kuna nyumba zingine ukizitembelea haumalizi wiki unachoka kukaa
Sababu ni wenyeji wako kutokujali muda wa kula au ni kama umeshiba au lah! Hauulizwi kabisa
Au wanapika chakula ambacho wewe...
https://www.youtube.com/watch?v=Y8ALXkIaiow
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ya Uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Dkt. Salim Ahmed Salim, leo Septemba 30, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Maktaba hiyo ya...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu Abdulrhamn Omar Kinana anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Hai ambao Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe atawasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM kuanzia Oktoba 2020 - 2023.
Mkutano wa CCM Wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.