Mkoa wa Geita unakadiriwa kuwa na watu elfu 95 wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), huku wananchi wakihimizwa kupima afya zao mara kwa mara ili kufahamu hali zao.
Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Geita, Lucy Beda,i akimwakilisha Mkuu wa Wilaya katika maadhimisho ya Siku ya Afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.