mgodi wa dhahabu geita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu elfu 95 wanakadiriwa kuishi na VVU Geita

    Mkoa wa Geita unakadiriwa kuwa na watu elfu 95 wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), huku wananchi wakihimizwa kupima afya zao mara kwa mara ili kufahamu hali zao. Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Geita, Lucy Beda,i akimwakilisha Mkuu wa Wilaya katika maadhimisho ya Siku ya Afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…