mgombea urais nra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais NRA, Almas Kisabya, aahidi kufuta bili za maji kwa wananchi

    Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha NRA, Almas Kisabya, ameahidi kutunga sheria kali za kupambana na mmomonyoko wa maadili nchini, sambamba na kufuta bili za maji kwa wananchi, ambapo gharama zote zitabebwa na serikali.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais NRA: Tutatunga sheria ngumu dhidi ya ushoga

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Almas, ameahidi kuwa iwapo chama chake kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi, serikali yake itatungua sheria kali dhidi ya mapenzi ya jinsi moja ndani ya siku 30 baada ya kuundwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete achukua barua ya utambulisho CCM, kuelekea INEC kuchukua fomu ya ubunge Mchinga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Salma Kikwete, amewasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Lindi Mjini kwa ajili ya kuchukua barua ya utambulisho. Barua hiyo inamwezesha kuelekea katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi mkoani humo kuchukua fomu ya kugombea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…