mhandisi lightness salema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mhandisi Lightness Salema ajitosa kugombea ubunge jimbo la la Mwanga

    Mhandisi Lightness Ladislaus Salema amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. Aidha Mhandisi Lightness Salema ni mzalendo na mpenda maendeleo kutoka Rughwini, Lembeni – Mwanga. Ni mfanyabiashara, mshauri wa maendeleo na mjasiriamali aliyebobea katika sekta...
Back
Top Bottom