Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mhandisi Lightness Ladislaus Salema amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Aidha Mhandisi Lightness Salema ni mzalendo na mpenda maendeleo kutoka Rughwini, Lembeni – Mwanga. Ni mfanyabiashara, mshauri wa maendeleo na mjasiriamali aliyebobea katika sekta ya madini, kilimo, utalii, uwekezaji, na ujenzi.
Lightness amechukua fomu leo tarehe 29, Juni 2025 kutia nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mwanga kupitia chama cha mapinduzi CCM.
Aidha Mhandisi Lightness Salema ni mzalendo na mpenda maendeleo kutoka Rughwini, Lembeni – Mwanga. Ni mfanyabiashara, mshauri wa maendeleo na mjasiriamali aliyebobea katika sekta ya madini, kilimo, utalii, uwekezaji, na ujenzi.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Kiongozi wa asasi ya Wanawake wa Jumuiya za Madola – Afrika (Commonwealth Business Women Africa).Lightness amechukua fomu leo tarehe 29, Juni 2025 kutia nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mwanga kupitia chama cha mapinduzi CCM.