Mhandisi Lightness Ladislaus Salema amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Aidha Mhandisi Lightness Salema ni mzalendo na mpenda maendeleo kutoka Rughwini, Lembeni – Mwanga. Ni mfanyabiashara, mshauri wa maendeleo na mjasiriamali aliyebobea katika sekta...