Moderator hii ni hoja ya kisiasa msiigeuze ya lugha.
Suala la Elimu ya nchi hii kuwa ya kiwango cha juu ama cha chini ni la mjadala.
Lakini kiwango cha usomi wa wasomi wetu si mjadala unaotakiwa kuahirishwa.
Hivi wasomi wetu tunawapimaje, kwa nini wasomi wetu linapokuja suala la ushindani na...
MWELEKEO WA AJIRA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA MIAKA 10 IJAYO.
Kwa miaka takribani 10 Sasa tangu mnamo mwaka 2014 katika awamu ya mwisho ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete matumizi ya mitandao na TEHAMA kwa ujumla yamekuwa chachu katika kuongeza pato la taifa, naiona Tanzania yenye vijana wenye...
Utangulizi
Tanzania imekuwa ikishuhudia maendeleo ya kiteknolojia kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Katika miaka 10 hadi 20 ijayo, nchi inaweza kuwa imefikia kiwango kikubwa cha maendeleo ya teknolojia ikiwa itazingatia na kuwekeza katika maeneo haya makuu yafuatayo.
Miundombinu ya...
Picha kutoka shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Mungu hajakosea kumfanya kila mmoja wetu jinsi alivyo,japo kati yetu kuna walemavu ambao huwa na matatizo au upungufu wa kimwili ,kiakili au kihisia ambao huwafanya kushindwa kufanya baadhi ya shughuli kwa njia ya kawaida...
MAMABO MATATU MATATU YATAKOIBADILI TANZANIA NA KUPATA NDANI YA MIAKA 10 TU TANZANIA NITAKAYO.
Tanzania ni nchi tajiri ambayo inapsawa kuwa mbali sana kiuchumi na kuiingiza kwenye nchi tajiri duniani. Miongoni mwa mambo matatu ambayo tunapaswa kuyazingatia ili kupata maendeleo ni, Moja kuwekeza...
Tanzania nchi nzuri yenye udongo wenye rutuba ajabu kubwa sana ni kwamba imekaliwa na mapoli ambayo hayana future yoyote maono yangu
MAONO YA MIAKA 5
Kwanza elimu yetu ya veta na kilimo iwe ndo elimu tuachane na elimu za kikoloni zinadai kua tulikuwa nyani tuamini elimu yetu ambayo ikizalisha...
Kilimo:ni utajiri na chakula Kwa binadamu wote Kwa Tanzania.
Kilimo kinalisha watu wote Tanzania pia kilimo kinatajilisha watu waliomo humo kwenye kilimo hicho hicho.zipo njia baadhi zikitumika ki ufasaha zitabadiliaha sekta ya kilimo ndani ya miaka kumi mpka 25 ijayo kama njia hizo zitafutwa...
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.
Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.
Hapa nina swali fikirishi
Eti, kama ikatokea ukapewa fursa ya kurudi miaka 10 au 15 nyuma na kukutana na...
Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26
kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana umri.
Sababu kuu huwa ni "nioe binti mdogo tutaongea nae nini"
Niwajuze tu kwamba kwenye ndoa ni...
Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini.
Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua...
Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito.
Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini.
Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako.
2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo...
Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili.
Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa tarehe 5/5/2024, katika Viwanja vya Mwami Ruyagwa, Kata ya Gungu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji...
Shalom,
Ukiheshimiwa jiheshimu, sasa ukweli ni kwamba miaka 10 Ikulu ni mingi sana, ukihudimu kama Makamu wa Rais na Rais kwa nusu vipindi kiapo chako na kikanuni na kikatiba ni Cheo chako Cha umakamu, chama kimekupa ridhaa ya miaka 10 tu ya umakamu hicho kiti cha juu ni bonus kutokana na kifo...
Habari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa.
1. Ndoa ni sawa na gereza ambalo tofauti iliyopo kwa gereza la kawaida ni kwamba gereza la ndoa mfungwa...
Kwanza nimshukuru sana mheshimiwa kwa kupata hii nafasi ya kuposti Leo,
Lakini niwapongeze rafiki zangu walioajiriwa mwaka 2014, mwezi wa Nne tar 1,
Leo hii wametimiza miaka 10!
Lakini cheo walipata mara moja tu!
Yaani kauli mbiu ni miaka 10 daraja moja!
Miaka 10 daraja moja!
Mungu awatie...
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.
CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na...
Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake.
https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.