Heri ya sikukuu ya ufufuko wa Yesu Kristo.
Leo ni miaka 10 kamili tangu nimejiunga hapa JF 09 Aprili 2013.
Wengine mlikuwa bado wachanga,wengine shule,wengine mlikuwa huko vijijini kwenu ambako hakuna internet lakini Mungu ni mwema leo wote tupo JF na tunasoma nyuzi za kila aina.
Ndani ya miaka...
Habari zenu wana-jf wenzangu! Tumsifu Yesu Kristu!
Hakuna kizuri kisichokuwa na dosari na vilevile hakuna kibaya kisichokuwa na uzuri wowote.
Sasa je ni yapi mazuri na mabaya na changamoto katika uongozi wa papa Francis!
Ni mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi.
Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya karibu std 6.
Ni mtoto mchangamfu, mcheshi, mpira anacheza na uwezo wa darasani si haba.
Leo nikiwa...
Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya Ukraine.
Amefungwa kifaa mwilini ambacho kinaonesha mwelekeo wake popote alipo akifuatiliwa na Polisi...
Taasisi ya National Earthquake Information Center (NEIC) inayochunguza Taarifa kuhusu Tetemeko la Ardhi, inakadiria kuwa Matetemeko 20,000 ya ukubwa tofauti yanatokea duniani kote kila mwaka sawa na wastani wa Matetemeko 55 kila siku.
Mwaka 2021, Dunia ilipigwa na Matetemeko 2,200 yenye ukubwa...
Mahakama imemhukumu Edgar Alain Mebe Ngo'o kwa kosa la ubadhirifu takribani Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 93) katika mkataba wa kununua vifaa vya kijeshi kutoka Brazil.
Mkewe, Bernadette, pia amekutwa na makosa ya aina hiyo na kuhukumiwa miaka 10 jela, wote wamekana makosa na kuahidi kukata...
Maisha ya nchi nyingine magumu sana!!!!!Hii sijui imekaaje?
=========
Iran jails couple for 10 years over viral dancing video: activists
Iran has handed jail sentences for over 10 years to a couple who danced in a viral video, convicting them of 'encouraging corruption and public...
Ilikuwa ni kipindi nipo darasa la sita nikiwa na miaka 12 kwenye kipindi cha sayansi mwalimu alikuja kufundisha topic ya mitindo ya maisha kama sikosei ilikuwa ni reproduction.
Ni topic ambayo wengi iliwafanya wawe wasikivu kama mjuavyo hata watoro walikuwa hawaikosi, sasa katika maswali ya...
Rais Samia pamoja na marais waliomtangulia: Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete
MIAKA 10 ijayo, hadi kufikia mwaka 2033, Tanzania itakuwepo. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa madarakani, huku idadi ya watu ikikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 75.
Je, uchumi wake utaimarika na maisha ya watu...
Mahakama ya Wilaya ya Arusha, imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Godlisten Kibwana (22), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 10.
Kibwana ambaye ni mkazi wa eneo la Mianzini, jijini Arusha amehukumiwa adhabu hiyo leo Alhamisi, Desemba 29, 2022 na Hakimu Mkazi...
Shule ya Msingi Laalakir iliyopo Kijiji cha Partimbo, Kata ya Partimbo wilayani Kiteto Mkoani Manyara, imekuwa na matokeo ya alama "A" kwa miaka 10 mfululizo na kushika nafasi ya kwanza kiwilaya na kimkoa na haijawahi kufelisha mwanafunzi
Wanafunzi waliofanya mtihani mwaka 2022 ni 36, kati ya...
Nunua ardhi ya bei nafuu Leo katika eneo ambalo baadae litakuwwa dili sana na sasa linapuuzwa. Mfano:
1. Eneo LA Makurunge kule Bagamoyo njia ya Saadani. Ile barabara inaandaliwa kujengwa kwa kiwango cha lami itokezee Pangani, itakuwa shortcut kwenda Tanga hivyo magari mengi yatapita. Mbele yake...
Nimefanya kazi kama mhudumu wa guest (ya kawaida) hapa DSM kwa miaka 10 mfululizo. Niseme tu kwamba, kuna makubwa sana yanafanyika hasa nyakati za mchana kwa wake/waume za watu, wafanyakazi wa Serikali na mashirika, vijana wa bodaboda (kwa wake za watu) na viongozi wa Serikali na vyama vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.