miaka 20

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    Guilty until proven Innocent : Afungwe miaka 20 halafu akitoka kesi yake ndo Isikilizwe

    Kwa baadhi ya Wanasiasa na viongozi mbalimbali madhira ambayo wameifanyia nchi hii.... Mi kweli nasema mtu wa namna kwanza anahukumiwa kifungo cha kwenda Jela Miaka 20. Akimaliza akitoka ndo kesi yake sasa inaanza sikilizwa ajitetee ili asiende tena ndani kwa kifungo cha miaka 100 bila msamaha...
  2. L

    Ukiwa na miaka 60 - 67 unaweza kuwa na ndoto za miaka 20 mbele?

    Nimekutana na mzee mmoja mstaafu katika kuongea nae nikagundua ana mipangilio ya miaka mingi mbele. Mosi: Ana eneo ekari 5-6 Kongowe ya Mbagala hapa ana ndoto ya kujenga shule. Pili: Ana eneo ekari moja Mabwepande hapa ana mpango wa kujenga nyumba za kupangisha. Tatu: Ana eneo ekari moja na...
  3. Analogia Malenga

    Mahakama mkoani Manyara yamhukumu miaka 20 dalali wa meno ya Tembo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Manyara imemhukumu dalali wa biashara ya meno ya Tembo Bw.Bernard Masalu Mgalula (54) mkazi wa jiji la Dar es Salaam kutumikia kifungo cha miaka 20 baada ya kukiri kosa la kuhujumu uchumi kwa kukutwa na meno 13 ya Tembo yenye thamani ya shilingi milioni 240...
Back
Top Bottom