miaka 20

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. Kidagaa kimemwozea

    Avunja ndoa ya miaka 20 kwa tabia ya mkewe kupakulia majirani chakula

    Image: MARGARET WANJIRU Mwanamume mmoja nchini Zambia amewaacha watu kwa mshangao kubwa baada ya kumpa mkewe talaka kwa sababu ya kuwa na mazoea ya kuwapakulia majirani chakula. George Phiri mwenye umri wa miaka 49 aliamua kumuacha mkewe Tanta Zulu mwenye umri wa miaka 34 ambaye walidumu...
  2. Melki Wamatukio

    KWELI Uume huacha kukua mwanaume anapofikisha umri wa miaka 20

    Hivi ni kweli kuwa ukomo wa kurefuka na kunenepa kwa uume ni miaka 20? Yaani mtu mwanaume mwenye umri wa miaka 25 au 30, kamwe hawezi ku experience ongezeko la ukubwa wa uume wake? Kwa maana nyingine, ukubwa wa uume wa mwanaume akiwa na miaka 20, ndio atakaokuwa nao akifikisha miaka 35?
  3. BARD AI

    Watakaowasha VPN kuipata TikTok kufungwa miaka 20 au faini ya Tsh. Bilioni 2.3

    Kwa mujibu wapendekezo yaliyopitishwa na Bunge la #Congress, adhabu hiyo itaanza utekelezaji endapo Mtandao huo utafungiwa kuendesha huduma zake Nchini Marekani Pia, Wabunge wa #Democratic na #Republican kwa pamoja wameridhia kuwa watakaokutwa na hatia wanaweza kupigwa faini hadi Tsh. Bilioni...
  4. The Boss

    Rekodi hii ya Simba inaweza isivunjwe miaka 20...

    Klabu ya soka Tanzania kutoa mchezaji wa kuitwa national team kwa timu ambayo iko ranked na FIFA no 2 Africa? Hii rekodi inaweza isivunjwe kabisa Kwa mda mrefu sana au isivunjwe kabisa.
  5. Richard

    Leo ni miaka 20 imepita tangu Marekani na Uingereza waivamie Iraq na kuivunja nchi hiyo mazima. Je, wataweza kuivunja Urusi vipande vipande?

    Miaka 20 ilopita, Marekani na washirika wake akiwemo Uingereza waliivamia nchi ya Iraq baada ya kushindwa kulishawishi baraza la usalama la Umoja wa Mataifa. Marekani na Uingereza walishindwa kulishawishi baraza la usalama la umoja wa mataifa kuweka azimio au "resolution" la kuwawezesha kuwa na...
  6. JanguKamaJangu

    Godbless Lema: Vijana wote mnaoendesha bodaboda, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa

    Godbless Lema akiwa Mwanza amesema “Ukiona dereva bodaboda ameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka, hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini. "Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa, mtaumwa vifua, viuno, migongo na wengine mtakuwa vipofu kutokana na upepo.”
  7. BigTall

    Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

    Katika pitapita zangu mitandaoni, nimekutana na makala hii inayohusu mahojiano aliyoyafanya huyu jamaa anaitwa Frank ambaye anasema ni mtoto wa Mchungaji Zachary Kakobe, nimeona si vibaya nikishea hapa inawezekana kama ni kweli basi ujumbe umfikie kwa urahisi mtumishi kwa kuwa najua JF ni...
  8. BARD AI

    R. Kelly ahukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa uhalifu wa Kingono

    R. Kelly amehukumiwa kifungo kingine cha miaka 20 huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa ngono ya mtungo. Mwimbaji huyo alikuwa katika mahakama ya shirikisho huko Illinois ambapo miaka 19 kati ya miaka hiyo atatumikia kifungo sawa na kifungo anachotekeleza sasa. Waendesha mashtaka...
  9. G

    Majiji mengine yote yakiungana yanaweza kuifikia Dar angalau ile ya miaka 20 iliyopita ?

    -Hotels -Makazi -Starehe -Elimu -super markets -n.k
  10. Sky Eclat

    Unapopata mtoto katika umri wa miaka 70 uhakika wa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ya miaka 20 au 30 ni mdogo

    Unapopata mtoto ukiwa na umri mkubwa, kikubwa unachoweza kumpa ni busara ulizozikusanya kwa miaka mingi. Uwezekano wa kusherehekea mahafali yake ya elimu ya juu ni mdogo sana. David Foster mwenye umri wa miaka 73 akiwa na mke wake wa ndoa ya tatu na mtoto wao. Watoto wa uzeeni wana muda...
  11. To yeye

    Binti miaka 20 anatafuta kaz

    Anatafuta kaz za ndani ...mshahara kuanzia 60 ...
  12. BARD AI

    Tory Lanez akutwa na hatia ya kumpiga risasi Megan Thee Stallion, anakabiliwa na kifungo cha miaka 20

    Rapa Tory Lanez mwenye asili ya Canada amekutwa na makosa 3 ya Kushambulia kwa kutumia Silaha aina ya Bastola, Kubeba Bastola yenye Risasi ikiwa ambayo haina usajili na Kufyatua Bastola hiyo kwa uzembe. Kwa mujibu wa Sheria za Marekani, makosa hayo yanamuweka hatarini kufungwa miaka isiyopungua...
  13. Dr Akili

    Ina maana kweli, kwa mjibu wa ibara 144(1) ya Katiba kama CAG akateuliwa wa umri wa miaka 20 atadumu miaka 40?

    Wapo watu ambao wanaamini kwamba mahakamani huwa hakuna haki bali kuna sheria pekee. Kwa kiasi kikubwa huwa ninakubaliana nao. Kazi za mahakama ni kutafisiri sheria. Katiba ndiyo sheria mama au kwa jina jingine sheria kiongozi. Ni dhahiri kuwa kama sheria (na Katiba) tulizozitunga wenyewe...
  14. G

    Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    Wakuu Uswazi uswahilini , ngoja nishee story yangu na experience ya kuishi uswahilini ,Ntasimulia jinsi nilivyo koswa koswa na Ukimwi, jinsi nilivyo kwepa kuzama ktk utumiaji wa madawa, jinsi nilivyo escape kuwa panya road, Nilivyo escape kula mashoga, nilivyoishi na matapeli na kujifunza...
  15. B

    Kutana na M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Bunda mwenye umri wa miaka 20

    Huyu ndiye Mwenyekiti wa UVCCM mdogo kuliko wote Tanzania. Ana umri wa Miaka 20. Tunawapongeza UVCCM Tanzania chini ya Kenani Kihongosi kwa kuhakikisha wanapata watu sahihi kwa wakati sahihi. Huyo aonekanaye kwenye picha ana majina mawili tofauti na anamiliki vitambulisho viwili tofauti. Jina...
  16. mdukuzi

    Mnaodhani Hayati Magufuli aliokota Dodo chini ya mnazi, mnajidanganya alijiandaa kuwa Rais miaka 20 kabla

    Naweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi. Leo tumuangalia Rais Magufuli, Pompeo wa bongo alivyousaka urais kwa mbinu za chini kwa chini. Hapo mwanzo kulikuwa na jimbo moja...
  17. figganigga

    John Heche Muongo, eti Misri mvua hainyeshi miaka 20 lakini hakuna mgao wa maji

    Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao. Anasema Tanzania hakuna Viongozi wenye maono sababu wananunua Magari ya Bil 500 wakati Dar Bil. 200 inamaliza...
  18. BARD AI

    Afungwa miaka 20 kwa kuwadhalilisha kingono Watoto

    Hukumu imetolewa na Hakimu Mkazi John Mdoe wa Mahakama ya Wilaya dhidi ya Francis Julius Matiko mkazi wa Isevya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuwadhalilisha watoto. Upande wa Mashtaka uliiambia Mahakama kuwa mshitakiwa kwa nyakati tofauti aliwalaghai watoto wawili wa kike kwa kuwapa Tsh...
  19. Idugunde

    ACT Wazalendo kuzindua Ofisi Mpya ya kisasa huku CHADEMA wakiwa wamepanga uswahilini zaidi ya miaka 20

    Penye njia pana njia Act Wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party. Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.
  20. BARD AI

    Filamu ya Kitanzania yatajwa kuwania Tuzo ya Oscar, ni ya pili tangu mwaka 2002

    Filamu ya Kitanzania imeorodheshwa kuwania Tuzo hiyo, na hivyo kuhitimisha subra ya takriban miongo miwili kwa nchi hiyo kushiriki katika tuzo hiyo. Filamu ya Vuta N'kuvute - inayomaanisha "Mapambano Makali" kwa Kiswahili - imeorodheshwa katika kitengo cha "Filamu Bora ya Kimataifa" katika Tuzo...
Back
Top Bottom