Unakuta jitu linakaribia kugonga 50 yrs , ila likiwa mbele ya hadhara linasema lina miaka 32yrs au hata miaka 15yrs, hii yote mnafanya ili iweje..??.. Kuna faida gani ukijulikana una umri mdogo ..?
Ebu hacheni huo uhayawani mara moja ,alaah!!.Tafuteni pesa nyie vijeba, sababu hata kama ukisema...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa wilaya ya Arumeru na Mkoani humo.
Akitoa taarifa hiyo leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake?
Leo hii ni zaidi ya miaka 10 imepita je Osama Bin Laden atakuwa sehemu ametulia tu kimya? Au tukubaliane na ukweli ambao...
Mwisho wa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000, intaneti ilikua jukwaa la video za kutisha za mauaji, ikiwemo vichwa vya watu wa Magharibi kama wazungu na wamarekani vikichinjwa. Video hizi zilitengenezwa na kusambazwa na mashirika ya kigaidi yanayoendesha operesheni katika Mashariki ya Kati...
Hii ni picha ya Jean Claude Van Damme akiwa na Bolo Yeung.
Hapo wakiwa katika movie ya bloodsport ya mwaka 1988 na picha ya nyingine walipokutana mwaka huu 2025 takribani miaka 37 baadae.
Ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu
Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira
1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
Wahitimu wa degree wanaopitia changamoto za kiuchumi hupata msongo wa mawazo kwa sababu jamii huwa na matarajio makubwa kwao. Jamii huamini wanapaswa kuwa wajanja zaidi kwenye fursa hata wasipopata ajira. jamii huwashusha thamani na hata kuwatania vijana hawa inapoona kuna vijana wenye elimu ya...
🎓Kitu ulichogundua kikubwa ni namna ya kumbalance mtoto mzuri pale ukiwa unampiga doggy ya kulala dushelele yako isichomoke and you are very proud of it kwa maana hadi leo haijachomoka.
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Nimeona serikali ikisema kubeti kuanzia ni miaka 18+.
Sasa miaka 18+ niwazee hao na sisi vijana wa miaka 17- tunaitaka hii fursa ya mama samia ya kucheza kamari ambayo katuletea.
Maana leo vituo vya habari vya taifa vyote vinahamasisha sasa hii inatunyima...
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
Naombeni Majibu Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi pamoja na -kupata mtoto
Nimeshajipata ,now Nina miaka 23 ,Nina kazi Serikalini, Nyumba, Elimu Japo kwa Msaada wa Wazazi
Wakuu unaposoma tu weweunadhani lilikuwa jambo rahisi sana .........soma kwanza
Mwanzo 22:1Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.
2 Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria...
Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni.
Tumeenda Mahakamani mimi na Mke wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, ambapo tulikuwa tukiacha...
Miaka 140 iliyopita tarehe kama ya leo ndipo mkutano wa Berlin ulipohitimishwa. Mkutano ulianza Tarehe 15 Novemba 1884 na kuhitimishwa Tarehe 26 Februari 1885 kwa kusainiwa kwa makubaliano ya jumla baina ya mataifa yaliyoshiriki.
Jambo la kustaajabisha kwenye mkutano huu ni kuwa ingawa...
Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa shida kama ningepata mkopo ila nikizifikiria milioni 12 za wazazi naumiaga, nimejipata nje kabisa...
Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini (2010-2020), Ally Mohamed Keissy, amefafanua sababu zilizopelekea msukumo wake wa kutaka kubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15.
Ningependa kutoa taarifa rasmi kuhusu hafla muhimu ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Bwawa la Mkomazi na utiaji saini wa mikataba miwili (2) ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga ambayo itafanyika tarehe 24 Februari 2025, ambapo Mheshimiwa Dkt. Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.