Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT.
Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la moto sana.
Kama hukufanikiwa kumuona Victor Costa akicheza basi wewe mtazame tu Hamza
Miaka takriban 2500 iliyopita, Mungu alimwambia Nabii Danieli awaambie watu kuwa wakati wa mwisho maarifa yataongezeka. Tunasoma hivyo katika kitabu cha Danieli 12:4: "Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huku na huko, na...
I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.
Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.
Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.
Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia masikio.
Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa...
JUSTINE AMEFARIKI BAADA KUAMBIWA MTOTO SI WAKE
Mwili wa kijana Justine Mbaga mwenye umri wa miaka 28 ambaye amefariki dunia jana Februari 11,2025 ikidaiwa ni kwa kunywa sumu baada ya kupewa taarifa kuwa mtoto aliyekuwa anamhudumia si wake, umezikwa leo katika makaburi ya Magegele yaliyopo...
Hii airisha-airisha imekuwa too much..Na ni aibu pia kwa shirikisho.
Ili kurejesha msisimko wa Afcon,
CAF kwanini wasipanue vipindi vya miaka 3 kati ya tournament moja kwenda nyingine ili nchi inayo-host ipate muda wa kutosha kuandaa miundombinu.
Inaitwa AFCON 2025-Morocco...halafu mashindano...
Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimeendelea kuonesha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara tangu Serikali ilipoamua kulifufua kwa kununua ndege mpya kadhaa.
Air Tanzania na hasara zake miaka 9 mfululizo
2014/2015 - Tsh. Bilioni 94.3...
Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe
Unapiga nguo pasi mwenyewe
Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe
Unajitandikia kitanda mwenyewe
Unajiandalia chakula mwenyewe
Unaishi peke yako
Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.k
Elewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu...
Nilipokua mdogo nilisema nikiwa mkubwa nitapata pesa, nitakua nawasaidia masikini, ila mpaka sasa hivi najiona Mimi ndio maskini mwenyewe ninayepaswa kusaidiwa kabisaa, sijafika 30 lakini nina approach 30, naona kama game ni gumu sana,
Inabidi nikae chini zaidi nifanye meditation nijue nimekuja...
Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k.
Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu
Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
Ukweli kwa miaka kumi hii ambayo nusu imeongozwa na Magufuli na Nusu imeongozwa na mama Samia.
CCM wamefanya mambo makubwa mengi sana yanayoonekana kwa macho, bila mizengwe yanawapa uwezo wa kupata ushindi hata wangekuwa wanagombea urais Kenya, Zambia, Msumbiji, Congo, Rwanda, Uganda etc...
Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege
Hivi sasa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) limeendelea kuimarishwa kwa kuongeza idadi ya ndege hadi kufikia 16 na idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga...
Nawasilisha
Bado nafikiria kulikuwa na ulazima gani wa CCm kuwahi kufanya maadhimisho ya miaka 48 wakati ingefaa na ingekua bora zaid kama wange fanya ikifikisha miaka 50
Au kuna sababu nyingine
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu 'Chuma cha Chuma', kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya TSh. 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuwepo nchini Tanzania bila kuwa na kibali.
Chuma cha Chuma ambaye ni msanii...
Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.
Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya furaha,siku ya kukumbukwa
HAPPY BIRTHDAY SAFARI LARGER
Tarehe 4 Februari 1977 siku kama ya leo bia ya SAFARI LAGER ilizinduliwa na kampuni ya bia Tanzania Breweries katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam. Sherehe za uzinduzi zilifanyika New Africa hotel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.