Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu wao, lakini kuhusu marafiki nimebaki na wawili tu, hao nipo nao muda mrefu sana na bado ni urafiki wenye tahadhari na mipaka.

Wanawake - Nilikuwa nimezama sana kwenye hilo nilipokuwa kijana mdogo hata baada ya kuoa. Sasa hivi naweza kuzoeana na mwaamke kama rafiki hadi wengine hushangaa kama sihiaji cha ziada, Wakati mwingine huwa najiuliza, nini kilitokea ?

Games - Watu wanaendelea kuniuliza kama ninasubiri kwa hamu GTA 6 au Nimeshanunua Fifa 27, kwa sababu wananijua enzi hizo nilikuwa napenda games. Wanabaki kushangaa ninapowaambia sikumbuki ni lini mara ya mwisho nimekaa nacheza game kwa zaidi ya dakika 5.

Kutunza hela Bank au cash - hapo zamani nilikuwa na furahi sana nikiona hela ipo bank, lakini nimekuwa nikianza kufikiria mfumuko wa bei unavyoweza kufubaza hela napata wasiwasi naangalia pa kuwekeza, milioni 1 ya leo ilikuwa sawa na elf 50 miaka 30 iliyopita
 
Kitimoto, bia, mbunye, baby walker
 
Umezeeka ! Punguza matumizi ya chumvi, sukari n Mafuta.....fanya mazoezi walau mara 4 kwa wiki
 
Back
Top Bottom