PostGE2025 Hatimaye Afande Sele awakumbuka Waliouliwa 29.10.2025 kwenye Miaka 30 ya Bongo Fleva

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka

Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha.

Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza kutunyamazisha sisi wapigania haki. Mtatuua leo, wenzetu kama sisi wanazidi kuzaliwa.. Hamtatumaliza.

Hakuna jinsi ya kujitetea sababu ya kutoa mtu uhai. Unamwaga damu ya mtu kisa cheo. Unaua watoto wetu.

Na kwa taarifa Nyimbo za maombolezo zilishatungwa bado kuingizwa mtaani.

Wazanzibar wana kazi ngumu ya kukataza watu kuongelea. Vitisho vimefeli..

Mumua mumechoka.. Bado damu za watoto wetu zinawalilia nyie Wazanzibari wote ambao mlihusika kuua ili Samia aingie madarakani.

​
 
View attachment 3674508
ok.🐒
 
Iishe isiishe mtajua wenyewe lakini hakuna serikali yoyote itaacha kundi la wahuni waibe Mali za watu, wapore Mali za watu, wachome vituo vya polisi (usalama wa wanyonge), waharibu Mali za umma kisa wao kama wao hawampendi aliyeelekea kushinda.....kisa wao chama lao lilibugi kwa kujitoa kwenye uchaguzi hivyo "tukose wote", kisa chuki ya kidini, kisa uzanzibar, kisa mwanamke, kisa maria na mange wameagiza hivyo na upuuzi upuuzi mwingine mwingi.
Naamini serikali haichoki na haitokaa ichoke kuilinda watu wake.......ipo tayari kulikabili hata maisha yote mkiamua iwe hivyo.
 
Mkuu labda hufatilii Hilo tamasha ila hata Dodoma aliongelea kuwakumbuka wahanga wa tarehe 29 pale jukwaani na kumkumbuka Jebbi ndipo akaanza kuperform kibao Cha 'Swahiba'
 
Iishe isiishe mtajua wenyewe lakini hakuna serikali yoyote itaacha kundi la wahuni waibe Mali za watu, wapore Mali za watu, wachome vituo vya polisi (usalama wa wanyonge), waharibu Mali za umma kisa wao kama wao hawampendi aliyeelekea kushinda.....kisa wao chama lao lilibugi kwa kujitoa kwenye uchaguzi hivyo "tukose wote", kisa chuki ya kidini, kisa uzanzibar, kisa mwanamke, kisa maria na mange wameagiza hivyo na upuuzi upuuzi mwingine mwingi.
Naamini serikali haichoki na haitokaa ichoke kuilinda watu wake.......ipo tayari kulikabili hata maisha yote mkiamua iwe hivyo.
Sasa kama hayo yote yanajulikana yanini kutumia pesa nyingi kwaajili ya hizo tume?
 
Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka

Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha.

Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza kutunyamazisha sisi wapigania haki. Mtatuua leo, wenzetu kama sisi wanazidi kuzaliwa.. Hamtatumaliza.

Hakuna jinsi ya kujitetea sababu ya kutoa mtu uhai. Unamwaga damu ya mtu kisa cheo. Unaua watoto wetu.

Na kwa taarifa Nyimbo za maombolezo zilishatungwa bado kuingizwa mtaani.

Wazanzibar wana kazi ngumu ya kukataza watu kuongelea. Vitisho vimefeli..

Mumua mumechoka.. Bado damu za watoto wetu zinawalilia nyie Wazanzibari wote ambao mlihusika kuua ili Samia aingie madarakani.
View attachment 3674508
Mzanzibari aliamua kuagiza Watanganyika wauawe ili yeye aendelee kuwa madarakani
 
Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka

Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha.

Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza kutunyamazisha sisi wapigania haki. Mtatuua leo, wenzetu kama sisi wanazidi kuzaliwa.. Hamtatumaliza.

Hakuna jinsi ya kujitetea sababu ya kutoa mtu uhai. Unamwaga damu ya mtu kisa cheo. Unaua watoto wetu.

Na kwa taarifa Nyimbo za maombolezo zilishatungwa bado kuingizwa mtaani.

Wazanzibar wana kazi ngumu ya kukataza watu kuongelea. Vitisho vimefeli..

Mumua mumechoka.. Bado damu za watoto wetu zinawalilia nyie Wazanzibari wote ambao mlihusika kuua ili Samia aingie madarakani.
View attachment 3674508
Huu sio wimbo wa kukumbuka watu ambao waliuawa kikatili. Those brothers and sisters didn’t die of natural causes!
 
Iishe isiishe mtajua wenyewe lakini hakuna serikali yoyote itaacha kundi la wahuni waibe Mali za watu, wapore Mali za watu, wachome vituo vya polisi (usalama wa wanyonge), waharibu Mali za umma kisa wao kama wao hawampendi aliyeelekea kushinda.....kisa wao chama lao lilibugi kwa kujitoa kwenye uchaguzi hivyo "tukose wote", kisa chuki ya kidini, kisa uzanzibar, kisa mwanamke, kisa maria na mange wameagiza hivyo na upuuzi upuuzi mwingine mwingi.
Naamini serikali haichoki na haitokaa ichoke kuilinda watu wake.......ipo tayari kulikabili hata maisha yote mkiamua iwe hivyo.
We kweli mwehu, unaambiwa watu wamepigwa risasi wakiwa majumbani mwao, je nao walikuwa wakiandamana?
 
Iishe isiishe mtajua wenyewe lakini hakuna serikali yoyote itaacha kundi la wahuni waibe Mali za watu, wapore Mali za watu, wachome vituo vya polisi (usalama wa wanyonge), waharibu Mali za umma kisa wao kama wao hawampendi aliyeelekea kushinda.....kisa wao chama lao lilibugi kwa kujitoa kwenye uchaguzi hivyo "tukose wote", kisa chuki ya kidini, kisa uzanzibar, kisa mwanamke, kisa maria na mange wameagiza hivyo na upuuzi upuuzi mwingine mwingi.
Naamini serikali haichoki na haitokaa ichoke kuilinda watu wake.......ipo tayari kulikabili hata maisha yote mkiamua iwe hivyo.
Mbona labda labda nyiiingi, tushike lipi ndg chawa?!.
 
Back
Top Bottom