PostGE2025 Hatimaye Afande Sele awakumbuka Waliouliwa 29.10.2025 kwenye Miaka 30 ya Bongo Fleva

PostGE2025 Hatimaye Afande Sele awakumbuka Waliouliwa 29.10.2025 kwenye Miaka 30 ya Bongo Fleva

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka

Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha.

Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza kutunyamazisha sisi wapigania haki. Mtatuua leo, wenzetu kama sisi wanazidi kuzaliwa.. Hamtatumaliza.

Hakuna jinsi ya kujitetea sababu ya kutoa mtu uhai. Unamwaga damu ya mtu kisa cheo. Unaua watoto wetu.

Na kwa taarifa Nyimbo za maombolezo zilishatungwa bado kuingizwa mtaani.

Wazanzibar wana kazi ngumu ya kukataza watu kuongelea. Vitisho vimefeli..

Mumua mumechoka.. Bado damu za watoto wetu zinawalilia nyie Wazanzibari wote ambao mlihusika kuua ili Samia aingie madarakani.

Damu za WaTanganyika zaidi ya 518 ni nyingi sana kuliko zile za Wazanzibari 35.
Damu za WaTanganyika zitasumbua kwa miaka mingi zaidi.
Kuviziana! Visasi! Uasi! Ni dhahiri kama juhudi makini za kuleta umoja na kuimarisha Muungano zitapuuzwa!
 
Mpumbavu mkubwa we. Hujui unachoongea, nimchekee anayekuja na panga, mawe, visu Huku akipora bunduki?!!!!
Kwa hiyo wale watekaji wanaokuja na silaha, magari ya serikali na pingu washughulikiwe kwa style hizo hizo? Si ndiyo?
 
Umeambiwa na nani, mange?!!!!
Hivi wewe, si ndio ulionesha kutubu humu. Ukishakuwa CCM unakuwa umeshafitinika mbinguni na duniani. Wewe umeshaona wapi Mungu anakubatia wizi, ulaghai na ula rushwa?
 
Back
Top Bottom