malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Wakuu nimerudi kuwapa mrejesho Tena,baada ya kumaliza dawa za kichocho prazquantel 600mg vidonge vinne hali ya mtoto ikawa vile vile Bado anaendelea kukojoa damu
Leo asubuh nimeamkia hospital hapa yawakatoliki hospital ya kati tu,mtoto akaandikiwa vipimo Tena vya damu,mkojo,ultrasound ya figo,kibofu,prostate,wingi wa damu,hpylori,kichocho,na choo kubwa kapima,na creatinine
Majibu yakatoka creatinine ziko sawa,hana kichocho,mkojo uko safi hauna protein,prostate Iko sawa,kibofu Kiko sawa,figo ziko sawa in shape na size
Ila kabainika kwa maelezo ya daktari anahuo ugonjwa kwenye figo zake kunamirija inayotengeneza sjui nakupitisha mkoja inamajereha ndo inafanya anakojoa damu,ahisi mtoto alikua na infection kwa muda mrefu katika njia za mkojo labda ikapelekea kwenda kwenye figo,pia ana HPYROLI POSTIVE
Mtoto pia amekuwa na kawaida akiwa shule au nyumbani akijiiba kununua mihogo au vitu vyakuweka chumvi basi huweka chumvi
Daktari kashauri tutafute hospital kubwa Zaid tuonane na UROLOGY SPECIALIST kwa msaada Zaid,pia daktar kaandika hizi dawa koact 375 co-amoxiclav tablets BP 250-125 mg,metronidazole 1×2,Omeprazole usp 20mg 1×2,prednisolone 1×2
Ushauri hospital ipi ntapata daktari bingwa wa urology wazur kama dokta alivyoshauri
Ugonjwa aliobainika nao ni huu PYELONEPHRITIS
Naambatanisha na majibu ya ultrasound chini