Ulikuwa wapi miaka yote hiyo, umefika miaka 40 ndio unaanza kupambana?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.

Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?

Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
 
Ngoja ukifika 40s utajua sababu sasa hivi hata ukiambiwa huwezi kuelewa.
 
Me at 40+
FB_IMG_1784399496907.jpg

Sina ninachoelewa!
 
Huyajui maisha. Narudia tena huyajui maisha! Huyajuiiiiiiiii! 📣📣📣

Labda umezaliwa kwenye familia ya kitajiri, yenye connections kwenye mifumo ya kiutawala au ya kifisadi. Kwa hivyo unaona kila kitu ni rahisi tu kwako na hauna hata fununu jinsi harakati za mtu wa kawaida zilivyo!

Late 20s nilikuwa nazo. Migodi imekubali. Billions!

Late 30s kila kitu kikakwama yaani kila kitu...nikaponea kwenye vi real estates huko.

Mid 40s ndiyo nimeanza kuuona mwanga tena. Maisha ni mapambano mpaka siku ya mwisho na ukianguka nyanyuka tena kama bado unapumua!
 
Huyajui maisha. Narudia tena huyajui maisha! Huyajuiiiiiiiii! 📌

Late 20s nilikuwa nazo. Migodi imekubali. Billions!

Late 30s kila kitu kikakwama yaani kila kitu...nikaponea kwenye vi real estates huko.

Mid 40s ndiyo nimeanza kuuona mwanga tena. Maisha ni mapambano mpaka siku ya mwisho na ukianguka nyanyuka tena kama bado unapumua! 📌
Mtu akifanikiwa kidogo anaona wenzake wote hawajui kutafuta fedha, maisha hayajawahi kuwa na fomula
 
Huyajui maisha. Narudia tena huyajui maisha! Huyajuiiiiiiiii! 📌

Late 20s nilikuwa nazo. Migodi imekubali. Billions!

Late 30s kila kitu kikakwama yaani kila kitu...nikaponea kwenye vi real estates huko.

Mid 40s ndiyo nimeanza kuuona mwanga tena. Maisha ni mapambano mpaka siku ya mwisho na ukianguka nyanyuka tena kama bado unapumua! 📌
Mkuu wewe inaonekana kabisa ulianza mapema, unaanguka unainuka, mimi nipo na wale. Wanaanza mipango katika hiyo age.
 
Back
Top Bottom